The world's most powerful people in chitchat 2013-forbes chitchat

The world's most powerful people in chitchat 2013-forbes chitchat

Kuanzia wakurugenzi wa makampuni makubwa,wanasiasa,wajasiriamali,mabilionea,forbes chitchat inawaletea watu wenye nguvu zaidi chitchat,


name; charminglady
org; international model
age;22
position;11

Wooooooooooohhhhhhhhhh!!!!!!!!!! Umejuaje?????? Ndo nawakilisha kama hivi mwaka huu mzima

public.php
 
name; charminglady
org; international model


name; Mr Rocky
org; president JF bank,ndie aliyeikopesha nchi ya tazmania pesa ya uendeshaji gesi
age;40
position;14

name; Donn
org;CEO wa JF telecoms,aliamua kufuata nyayo za mjomba wake Chimbuvu
age;18
position;15

Shukrani sana mkuu
unashukuru nini hukutegemea kuingia kwenye listi au
 
Kuanzia wakurugenzi wa makampuni makubwa,wanasiasa,wajasiriamali,mabilionea,forbes chitchat inawaletea watu wenye nguvu zaidi chitchat,

name; Baba V
organisation;CEO wa Chitchat relationship.kwa kutumia sheria ameweza kurudisha hadhi ya mahusiano CC
age;76
position ;1

name; Arushaone
org; president wa chitchat
age;35
position;2

name; manoah
org; CEO manoah engineering works,inasemekana ndiye mmojawapo wa waliorudisha treni ya mwakyembe kuendelea na shughuli
age;30
position;3

name; Madame B
org;CEO msuto.com,cc job recruiters
age;22
position;4

name; Bishanga
org; CEO ChitChat udaku,ndiye muanzilishi wa kutoa hadharani picha za aibu
age;85
position;5

name; Mamndenyi
org; secretary African Union CC,aliweza kuleta mazungumzo ya amani baina ya kiongozi wa M23 Bujibuji na utawala wa rais wa cconggo
age;30

name; watu8
org;CEO wa advert co, mkurugenzi wa usalama wa taifa,alifanikisha kupatikana kwa pembe za ndovu kenya na china.
Age;59

name; Erickb52
org; chairman wa chitchat restaurant & pub
age;28
position;8

name; Chimbuvu
org;co-founder wa JF forbes
age;19
position;9

name; MzunguMndali
org; politician
age;72
position;10

name; charminglady
org; international model
age;22
position;11

name; Marry Hunbig
org;secretary United Nations CC
age;24
position;12

name; Ruttashobolwa
org;CEO law firm,ndiye anayesimamia kesi za lulu na papa musofe
age;59
position;13

name; Mr Rocky
org; president JF bank,ndie aliyeikopesha nchi ya tazmania pesa ya uendeshaji gesi
age;40
position;14

name; Donn
org;CEO wa JF telecoms,aliamua kufuata nyayo za mjomba wake Chimbuvu
age;18
position;15

List batili hii. . .eti mimi sipo. . .
 
Last edited by a moderator:
Tembelea jukwa la siasa watakupa aina za matusi, utashangaa mwenyewe utakavyo jichagulia likupendezalo..

Tatizo lenu mkitukanwa kama unavyodai mnakaa kimya bila kuripoti, mnabaki tu kuwalalamikia Mods!
 
Tatizo lenu mkitukanwa kama unavyodai mnakaa kimya bila kuripoti, mnabaki tu kuwalalamikia Mods!

Pamoja mkuu, ila hakuna Ban inayouma kama ya kuipatia chit chat, R.I.S (Rest In Server) Chilli
 
Last edited by a moderator:
Mjomba wako unamjibu hivyo?


Aiseee Chimbuvu nakushtaki kwa Marry Hunbig ... Umekosea age yangu not 18 ni 21yrs bana... Kumbe unatakiwa kuwa unanipa shikamoo kila asubuhi....! Unataka wafanya kazi wangu pale ilovetz.com wanishangae eenh...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom