Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nakata rufaa!! Haiwezekani Baba V akanizidi wakati alikuja juzi kati kunikopa dola milioni mbili kuwa bizness zake zimeyumba sana! Nashangaa leo kanizidi!!! Hao wakaguzi wa biashara wana kitu walichokosea, Jumatatu waite ofisini kwako uwahoji...!
Hapo kweli umewakilisha vema taji
Heheheee...mahari imekwisha kwenda kwa ma mdogo Mamndenyi na ba mdogo Vin Diesel!!
Wewe utaisikia kwenye bomba tu!!
Mambo Marry Hunbig! Rufaa nimekata kwa Chimbuvu ambaye ni ChitChat-FORBES Director
Nakata rufaa!! Haiwezekani Baba V akanizidi wakati alikuja juzi kati kunikopa dola milioni mbili kuwa bizness zake zimeyumba sana! Nashangaa leo kanizidi!!! Hao wakaguzi wa biashara wana kitu walichokosea, Jumatatu waite ofisini kwako uwahoji...!
Mambo Marry Hunbig! Rufaa nimekata kwa Chimbuvu ambaye ni ChitChat-FORBES Director
Loading...........................
Nakata rufaa!! Haiwezekani Baba V akanizidi wakati alikuja juzi kati kunikopa dola milioni mbili kuwa bizness zake zimeyumba sana! Nashangaa leo kanizidi!!! Hao wakaguzi wa biashara wana kitu walichokosea, Jumatatu waite ofisini kwako uwahoji...!
Huyu chimpumu katokea wapi....
Rufaa yako itaanza kusikilizwa baada ya masaa 24