Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Ndicho mnajidanganya. Mmepofushwa na ushabiki wa siasa hadi inatisha.Zec hawana mamlaka ya kufuta uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndicho mnajidanganya. Mmepofushwa na ushabiki wa siasa hadi inatisha.Zec hawana mamlaka ya kufuta uchaguzi.
That's explains my point!Tahadhari! Tusijenge dhana kwamba Wazanzibari ni watu wasioelewa kuwa mustakabali wa taifa au jamii hutegemea sana muafaka wa kijamii...social consensus! Wanajua fika kuhusu hilo na kama ilivyosemwa hata muungano ulisaidia kwa kisai fulani kuondoa tofauti miongoni mwao. My point: kama waliweza kukubaliana na mapinduzi, kilichopeelekea wakaendekeza tofauti miak yote hii ni nini? UJINGA WAO?
Ni kweli kabisa ZEC hawana mamlaka ya kufuta uchaguzi Mkuu, Jecha hana mamlaka ya kujigeuza yeye ndio ZEC na kufuta uchaguzi, swali la msingi ni baada ya kuyajua hayo, mlifanya nini?.Zec hawana mamlaka ya kufuta uchaguzi.
Yaani ulitaka tufanyeje waznzibar kwa mfano? au ulitaka wazanzbar wauwawe na majeshi kutoka tanganyika ili mpate kufurahi watanganyika.Ni kweli kabisa ZEC hawana mamlaka ya kufuta uchaguzi Mkuu, Jecha hana mamlaka ya kujigeuza yeye ndio ZEC na kufuta uchaguzi, swali la msingi ni baada ya kuyajua hayo, mlifanya nini?.
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ...
Paskali
Cha kufanya pia nimekielezea humu humu. Kama wakati wa kugombea wagombea wote wanajaza fomu, na wakidhulumiwa huenda mahakamani, kwa nini CUF haikwenda mahakamani, lakini kwa Lipumba, CUF ilimekwenda mahakamani!.Yaani ulitaka tufanyeje waznzibar kwa mfano? au ulitaka wazanzbar wauwawe na majeshi kutoka tanganyika ili mpate kufurahi watanganyika.
Halooooo ooooo haloooo ya mayalaaa iyooooMleta Uzi kaa kimyaaa huna unalojua, muongo mkubwa wewe, unatumiwa Kama tissue kisha unatupwa! Unajua mapinduzi yalifanywa na nani kule Zanzibar? Unajua nani alopindua kule? Unajua nani anawakandamiza wazanzibar tokea 1964?
Mwehu .........Mkuu Bobwe2,
kuna aina mbalimbali za makoloni kutokana na sababu za ukoloni wenyewe!, kwenye mkutano wa Berlin wa mwaka 1884, sababu za kutafuta makoloni ilikuwa ni kupata sources of raw materials na markets!, kufuatia Industrial Revolution, sasa tuko kwenye market economy na digital age, masoko ni popote na sio tena territories!.
Kwenye issue ya Zanzibar, ni kama mwanamke mrembo aliyejitongozesha kwa mwanamume rijali!. Baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, ili kuizuia Zanzibar kuvamiwa na mabeberu na kurejeshwa kwa Sultani, ni Karume ndio alivuka bahari kuja bara kumuomba Nyerere waungane!, ili Zanzibar ipate ulinzi!, huku ni kujitongozesha!. Nyerere akakubali, mwali tukamposa, na mahari tukalipa, ndoa ya muungano ikafungwa!. Mke tunampenda kwa dhati, tunalisha, tulinamvisha na kumgharimia kwa hali na mali ikiwepo asilimia 4.5% ya pato la misaada la taifa letu!.
Kama kuna mwenye mategemeo kuwa mwaka huu ni mwaka wa wakoloni kukiacha kipenzi chake hiki, kilichojitongozesha chenyewe na kujikabidhi kwa jibwana rijali, wasahau kabisa, kwa sababu, japo mwali alijileta mwenyewe, lakini pia ikatokea huyo bwana rijali Tanganyika, amempenda kwa kweli na dhati ya moyo wake Binti Zanzibari, hadi kukubali, kujifuta utaifa wake wa Tanganyika na kulifuta jina lake zuri la Tanganyika, kwa ajili ya mwanamwali huyu!, hivyo hawezi kukubali kumwachia tuu ajiondokee hivi hivi!.
Wajenga hoja ya Zanzibar kuondoka, wanajenga hoja katika misingi kuwa eti kwa vile mwanamwali huyu alijileta mwenyewe, hivyo akitaka kuondoaka mwenyewe, aachwe tuu ajiondokee kama alivyokuja!. Hoja hii haina mashiko na kamwe mwanamwali huyu hataruhusiwa kujiondokea zake kwa sababu sasa anapendwa kwa dhati!, na ni kufuatia upendo huu, ndio maana hata aliyeshinda uchaguzi kihalali hapewi, kwa sababu mwenye mke wake, hana uhakika na majaaliwa ya usalama wa ndoa hii, bila kuwa na uhakika na mlinzi mpya wa mwanamwali huyu, hivyo kuamua bora matokeo yafutwe, uchaguzi ufanyike tena, kujihakikishia usalama wa mwanamwali wetu!.
Paskali
Mkuu Bobwe2,

Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFUMkuu Bobwe2,