The Zanzibar political paradox: Mapinduzi sasa yamekosa mashiko?

That's explains my point!
Watanzania wengi toka Bara hawana uelewa wala haiingii akilini maana haswa ya mapinduzi ya 1964.
Wengi waafikiri ilikuwa utani utani wa kusukumana kwa vijiti na kunyosjeana vidole machoni!
Hii post ya MBATATA ndo inaonyesha thinking ya watu, na wasipoelewa nini kilifanyika Zenj miaka hiyo, sijui kama waaelewa yanayotokea Zanzibar kwa leo.
Mu ukiongelea social consensus-that's what is actually missing !!!
Hamna maelewano kat ya kundi moja na jingine for historical reasons, na ndo maana wa Sefu ni wa Sefu wakati wa Shein ni wa Shein. they have no common ground!!
Na tusijejidanganya kuwa mapinduzi yalikuwa kwa maelewano-hakuna kitu kama hicho.

Swala la msingi hapa , hakuna aliyeposti kujibu swali langu la awali: JE MAPINDUZI YAMEISHA MASHIKO?

Kama mtu umeshindwa kujibu hilo, basi utaelewa hii: MAPINDUZI DAIMA!
 
Yaani ulitaka tufanyeje waznzibar kwa mfano? au ulitaka wazanzbar wauwawe na majeshi kutoka tanganyika ili mpate kufurahi watanganyika.
Cha kufanya pia nimekielezea humu humu. Kama wakati wa kugombea wagombea wote wanajaza fomu, na wakidhulumiwa huenda mahakamani, kwa nini CUF haikwenda mahakamani, lakini kwa Lipumba, CUF ilimekwenda mahakamani!.
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote
Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote
Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!

Paskali
 
Mleta Uzi kaa kimyaaa huna unalojua, muongo mkubwa wewe, unatumiwa Kama tissue kisha unatupwa! Unajua mapinduzi yalifanywa na nani kule Zanzibar? Unajua nani alopindua kule? Unajua nani anawakandamiza wazanzibar tokea 1964?
Halooooo ooooo haloooo ya mayalaaa iyoooo
 
Mwehu .........
 

Nawatakia kumbukumbu njema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyovikomboa visiwa hivi.
P
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…