Tetesi: Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??

Tetesi: Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??

Sipika akiachia ngazi, itadhihirisha ujinga wake!

Hapaswi kuachia ngazi hata kwa dawa,
 
Hawa waliopatikana kwa maelekezo ya nileteeni fulani
 
kama itakua ya wazi ataondolewa,
lakin ikiwa ya siri,
theruthi mbili haitatimia
maana wapo wengi ambao hawamuelewi huyu mzanji,
Na itakua ya wazi heehee aonekane mnafiki nan [emoji2] badam batamwagika
 
Kosa la Ndugai ni kuomba msamaha.Ndugai akiwa kama kiongozi wa mhimili huru alipaswa kusimamia msimamo wake.

Ukishaona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
16413743210542.jpg
 
Kosa la Ndugai ni kuomba msamaha.Ndugai akiwa kama kiongozi wa mhimili huru alipaswa kusimamia msimamo wake.

Ukishaona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.View attachment 2069776
Ndungai katikisa, kumbe mhimili mkuu ndio unaendesha nchi, hiyo mihimili mingine ni gheresha tu kikatiba. Hata sufuria halijayumba, kachomoka amevimba kweli kweli, amerudi amenyooka.😡
 
Back
Top Bottom