Theopista Theonest aibuka mahakamani kesi ya Lissu

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
Mbunge wa Viti maalum na aliyekuwa miongoni mwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, Anatropia Theonest, leo Julai Mosi alikuwa mmoja watu waliofika kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.

Fuatilia zaidi: Kesi ya Lissu live
 
View attachment 3390158
Fuatilia zaidi: Kesi ya Lissu live
Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
 
Nakumbuka kisa hiki.
 
Kwani mtatiro yupo wapi
Vipi angetimka akiwa mbunge
 
Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
 
Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Ndo uyu alimwarbia mtatiro, zilkua figisu za mbowe kumpga chini mtatiro...Mbowe alkua na mazur ake but mabaya yake ni mengi pia
 
Watu huwa hamjui mchezo unavyokuwa! Hapo time ndiyo ilicheza mchezonl mchafu kwa kuacha jina kwenye karatasi za kura! Theo alikuwa amejiondoa lakini tume ikaamua kuzigawa kura za UKAWA! Ili wa CCM ashinde!
 
Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Huyo Mtatiro wako mwenyewe naye ni mchumia tumbo tu. Na ndiyo maana mpaka muda huu ni DC na pia kada wa CCM, badala ya CUF.
 
Mbunge wa Viti maalum na aliyekuwa miongoni mwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, Anatropia Theonest, leo Julai Mosi alikuwa mmoja watu waliofika kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.

View attachment 3390158
Fuatilia zaidi: Kesi ya Lissu live
Ila CDM kuna vichwa kweli kweli
 
Back
Top Bottom