Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Huyu kajitambua atasamehewa na kurudishwa kundini
Kwa hiyo ndiyo maana baadaye wakampiga Mbowe na kumvunja mguu wakati anaingia nyumbani kwake Dodoma! Weka akiba ya maneno. Nani alijua Mandela angekubaliana na Makaburu ili atoke gerezani. Kamuulize Malema anajua siri yote.Viti maalum walipewa na Jiwe, Ndugai na Mbowe kwa siri sana
Kwaho akichukua fomu kwingine mtaanza mitusiSiasa za CDM mpya bwana😂