Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.Mbunge wa Viti maalum na aliyekuwa miongoni mwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, Anatropia Theonest, leo Julai Mosi alikuwa mmoja watu waliofika kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.
View attachment 3390158
Fuatilia zaidi: Kesi ya Lissu live
Nakumbuka kisa hiki.Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Mtatiro Ambae badae alikimbilia CCM na kulamba teuzi?Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Kastuka kwenda kukazwa na uvccmDuh, yeye ameamua kutounga juhudi?
Viti maalum walipewa na Jiwe, Ndugai na Mbowe kwa siri sanaHivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Kwani mtatiro yupo wapiHivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Ndo uyu alimwarbia mtatiro, zilkua figisu za mbowe kumpga chini mtatiro...Mbowe alkua na mazur ake but mabaya yake ni mengi piaHivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Watu huwa hamjui mchezo unavyokuwa! Hapo time ndiyo ilicheza mchezonl mchafu kwa kuacha jina kwenye karatasi za kura! Theo alikuwa amejiondoa lakini tume ikaamua kuzigawa kura za UKAWA! Ili wa CCM ashinde!Ndo uyu alimwarbia mtatiro, zilkua figisu za mbowe kumpga chini mtatiro...Mbowe alkua na mazur ake but mabaya yake ni mengi pia
UKWELI NDIYO HUOViti maalum walipewa na Jiwe, Ndugai na Mbowe kwa siri sana
Bora hata huyo dada hakutoa jina lake maana aliona mbali. Mtatiro yuko wapi hivi sasa?Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Apana alkua anapga kampeni kwenye mikutano ya ChademaWatu huwa hamjui mchezo unavyokuwa! Hapo time ndiyo ilicheza mchezonl mchafu kwa kuacha jina kwenye karatasi za kura! Theo alikuwa amejiondoa lakini tume ikaamua kuzigawa kura za UKAWA! Ili wa CCM ashinde!
Uko sahiiUKWELI NDIYO HUO
Huyo Mtatiro wako mwenyewe naye ni mchumia tumbo tu. Na ndiyo maana mpaka muda huu ni DC na pia kada wa CCM, badala ya CUF.Hivi huyu ni yule vyama vya upinzani vilivyokubaliana kusimamisha mgombe mmoja kwenye uchaguzi wa 2015, yeye akagoma kutoa jina lake na kusababisha Mtatiro kukosa ubunge ILA still CDM wakampa ubunge wa viti maalum.
Ila CDM kuna vichwa kweli kweliMbunge wa Viti maalum na aliyekuwa miongoni mwa wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, Anatropia Theonest, leo Julai Mosi alikuwa mmoja watu waliofika kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.
View attachment 3390158
Fuatilia zaidi: Kesi ya Lissu live