Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 Jul 1, 2025 #21 Huyu kajitambua atasamehewa na kurudishwa kundini
T ThnkingAloud JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 611 Reaction score 621 Jul 1, 2025 #22 Don Moen said: Viti maalum walipewa na Jiwe, Ndugai na Mbowe kwa siri sana Click to expand... Kwa hiyo ndiyo maana baadaye wakampiga Mbowe na kumvunja mguu wakati anaingia nyumbani kwake Dodoma! Weka akiba ya maneno. Nani alijua Mandela angekubaliana na Makaburu ili atoke gerezani. Kamuulize Malema anajua siri yote.
Don Moen said: Viti maalum walipewa na Jiwe, Ndugai na Mbowe kwa siri sana Click to expand... Kwa hiyo ndiyo maana baadaye wakampiga Mbowe na kumvunja mguu wakati anaingia nyumbani kwake Dodoma! Weka akiba ya maneno. Nani alijua Mandela angekubaliana na Makaburu ili atoke gerezani. Kamuulize Malema anajua siri yote.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,930 Reaction score 19,156 Jul 1, 2025 #23 Fortilo said: Siasa za CDM mpya bwana😂 Click to expand... Kwaho akichukua fomu kwingine mtaanza mitusi
Fortilo said: Siasa za CDM mpya bwana😂 Click to expand... Kwaho akichukua fomu kwingine mtaanza mitusi