Hamna bwana unajua kuna vitu hata vikifanywa na pande zote mbili ila aibu lazima imrudie mtoto wa kike, mfano lile swala la amber ruty unafikiri nani pale aibu inamtafuna sana turudi kwenye kesi ya huyu bibi mkunwaji aliyepatwa na PELE , unakubali vipi kupigwa midole ya m@t@ko namna ile.Basi hapa najua utasema wanawake tunataka kushindana au kuwa sawa na wanaume maana ndo majibu yenu hayo wanaume hapo swala siyo kutaka kushindana wala kuwa sawa bali tendo linalohusisha jinsia mbili kosa linaonekanaje ni la jinsia moja?
Ndo maana nikasema kwa mtazamo wa jamii lazima tu mwanamke ndo aaibike ila kiuhalisia wote pale walitakiwa waaibikeHamna bwana unajua kuna vitu hata vikifanywa na pande zote mbili ila aibu lazima imrudie mtoto wa kike, mfano lile swala la amber ruty unafikiri nani pale aibu inamtafuna sana turudi kwenye kesi ya huyu bibi mkunwaji aliyepatwa na PELE , unakubali vipi kupigwa midole ya m@t@ko namna ile.
Original East siyo Mange Kimambi
Naona wewe mashauzi ndo yanakupendezea eti?Hakuna utata kwa sasa Nandy is a most well paid female artist kwa bongo now , The chick makes money , plenty of it , na she is trying to live her best life ila sijui kana nini, mi naonaga hakajutulia, haka ka kamamii kako na drama mingi nowadays , yani kana kujishaua flan hvi, halafu hata mashauz hayampendez yani, yani kana kiherehere, kanajikuta kenyewe, ila kwa sura ni kazuri na kanajua kuimba kwa kweli , ila naona nyota ndo hakanaga, kanajitaidig kenyewe kuimba ila watu ni kama hawamuelewi hvi ingawa single zake zinabamba, sitaki kuamin original east pekee ndo anamuelewa maana hata mastaa wenzie naona kama wamemblock flan hvi, yan wanampotezeaView attachment 1137188
Nenga ni kijana mwenzie anaeleweka na wanasameheka ila hili la Ruge ndugu yangu linafikirisha Sana kiukweliMi toka apigwe midole ya m@t@k0 na Nenga sina hamu nae tena, na mchupi wake ule.
Basi mie niko tofauti kidg...eti mie naona nandy anaimba Flat...hasumbuk ht mtoto anaimba nyimbo zake..sijui niielezej..mtu anayejua kuimba ni yule anayecheza na vocals.anaiimbia kifuani smtynz tumboni...mpo?ss vanesa na ruby ndo waimbaj wazuri...nandy anaimba kawaida sana. sema mtamu..uzuri unambeba..!na analipwa pesa ndf nadhan kwasasab kawa promoted sana