There is something wrong with Nandy

There is something wrong with Nandy

Basi hapa najua utasema wanawake tunataka kushindana au kuwa sawa na wanaume maana ndo majibu yenu hayo wanaume hapo swala siyo kutaka kushindana wala kuwa sawa bali tendo linalohusisha jinsia mbili kosa linaonekanaje ni la jinsia moja?
Hamna bwana unajua kuna vitu hata vikifanywa na pande zote mbili ila aibu lazima imrudie mtoto wa kike, mfano lile swala la amber ruty unafikiri nani pale aibu inamtafuna sana turudi kwenye kesi ya huyu bibi mkunwaji aliyepatwa na PELE , unakubali vipi kupigwa midole ya m@t@ko namna ile.
 
Hamna bwana unajua kuna vitu hata vikifanywa na pande zote mbili ila aibu lazima imrudie mtoto wa kike, mfano lile swala la amber ruty unafikiri nani pale aibu inamtafuna sana turudi kwenye kesi ya huyu bibi mkunwaji aliyepatwa na PELE , unakubali vipi kupigwa midole ya m@t@ko namna ile.
Ndo maana nikasema kwa mtazamo wa jamii lazima tu mwanamke ndo aaibike ila kiuhalisia wote pale walitakiwa waaibike
 
1137665
 
1137785


wanaokubaliana na warumi wasemee ndiio,wasiokubaliana waseme siiiyoo
 
Shida ni kwamba ameshajieleza vya kutosha kwamba yeye siyo Mange Kimambi ila watu wamekazania kuwa ndo yeye basi akaona haina shida wacha aende nao hivyo hivyo kama wanavyotaka tu
 
Hakuna utata kwa sasa Nandy is a most well paid female artist kwa bongo now , The chick makes money , plenty of it , na she is trying to live her best life ila sijui kana nini, mi naonaga hakajutulia, haka ka kamamii kako na drama mingi nowadays , yani kana kujishaua flan hvi, halafu hata mashauz hayampendez yani, yani kana kiherehere, kanajikuta kenyewe, ila kwa sura ni kazuri na kanajua kuimba kwa kweli , ila naona nyota ndo hakanaga, kanajitaidig kenyewe kuimba ila watu ni kama hawamuelewi hvi ingawa single zake zinabamba, sitaki kuamin original east pekee ndo anamuelewa maana hata mastaa wenzie naona kama wamemblock flan hvi, yan wanampotezeaView attachment 1137188
Naona wewe mashauzi ndo yanakupendezea eti?
 
Mi toka apigwe midole ya m@t@k0 na Nenga sina hamu nae tena, na mchupi wake ule.
Nenga ni kijana mwenzie anaeleweka na wanasameheka ila hili la Ruge ndugu yangu linafikirisha Sana kiukweli
 
Dada manrngerooooooo(lo)
Basi mie niko tofauti kidg...eti mie naona nandy anaimba Flat...hasumbuk ht mtoto anaimba nyimbo zake..sijui niielezej..mtu anayejua kuimba ni yule anayecheza na vocals.anaiimbia kifuani smtynz tumboni...mpo?ss vanesa na ruby ndo waimbaj wazuri...nandy anaimba kawaida sana. sema mtamu..uzuri unambeba..!na analipwa pesa ndf nadhan kwasasab kawa promoted sana
 
Back
Top Bottom