These Are The Top USAID Recipients—From Religious Groups To Major U.S. Companies—As Trump Targets Agency

Hivi niwaulize ndugu zangu USA wanapata wapi haya mabilioni ambayo wanatapanya Dunia nzima kwa style hii??? Imagine Kanisa linapewa Bil 4 dola unadhani PAPA atasema jambo akisikia USA wanaua watu????
Hizo sio za kanisa na hakuna hata cent inayo ingia kanisani
 
Wachache wapi nisha wahi tibiwa aga khan Arusha pale nilikuwa nanoesa za kawaida tu, ila nilitibiwa.Unaijua Nairobi Hospital? ukifika kule utaiona Ag khan tena kama ya watu masikini.
 
Wachache wapi nisha wahi tibiwa aga khan Arusha pale nilikuwa nanoesa za kawaida tu, ila nilitibiwa.Unaijua Nairobi Hospital? ukifika kule utaiona Ag khan tena kama ya watu masikini.
Utaifananisha aga khan na hivi vituo vya afya vya serikali ambapo kila mtu anaenda kutibiwa? hivi ambavyo mama mjamzito anaenda anapata kujifungua bure? bei za aga khan zinalingana na za hospital za serikali? Ushasema uliwahi kutibiwa kwa hivyo ni mara moja ulienda au ni mara chache sana huwa unaenda huko. Kwa Tanzania bado Aga Khan, Regency, TMJ ni hospital za gharama kwa walio wengi na wengi bima zinawasaidia. Siyo kwamba hakuna hospital zingine za gharama mfano Sali na nyingine zipo ila hizol ni level zingine kwa maana ya gharama.
Halaf tunaongelea muktadha wa Tanzania ukileta ya Kenya nami nitakuletea ya S.A. n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…