These Are The Top USAID Recipients—From Religious Groups To Major U.S. Companies—As Trump Targets Agency

Sasa hapo nyie mlikuwa third party, tofauti lazima uione kwa hiyo usiseme USAID ilikuwa inatoa makombo. Hapo nyie mlikuwa partner wa waswahili hamkusaini mkataba na USAID. THPS ndio walifaudu!
DMO haendi outreach lakini anatulizwa kwanza na 1M ya chai
 
Hivi niwaulize ndugu zangu USA wanapata wapi haya mabilioni ambayo wanatapanya Dunia nzima kwa style hii??? Imagine Kanisa linapewa Bil 4 dola unadhani PAPA atasema jambo akisikia USA wanaua watu????
kwa hisani ya watu wa marekani, kwa hiyo watoaji ni walipa kodi wa serikali ya marekani.
 
Nilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.
waafrika wengi na pengine na wewe ukiwemo wamenufaika sana ns USAID kuanzia ajira, huduma za afya, posho za safari, na mengineyo mengi sana, serikali za kiafrika zimepata kodi nyingi tu kuanzia PAYE, WHT na nyingine, watoa huduma na wauza bidhaa wengi wamepata pesa.
Ni vizuri kushukuru na kuacha kulalamika.
Unalalamikia ofisi kuu kuwepo US ulitaka iwepo tanzania kwa vigezo vipi?
Hayo unayoita makombo ulikula kwa bashasha siku hizo ulivyoshiba leo ndo unayaona makombo ipo siku utayakumbuka na kusema aheri hayo makombo yangerudi tena.
 
Mashehe wa bakwata wapo kwenye payroll ya serikali.
Hebu ilete hiyo payroll tuione!!.. after all bakwata ni chombo cha serikali ila hakiendeshwi kwa pesa za hazina tofauti na kanisani ambako taasisi zake huendeshwa kwa pesa za hazina kwa kisingizio cha ruzuku na msamaha wa kodi/ushuru wa forodha
 
Bakwata inaendeshwa na pesa toka wapi?
 
Fungueni hospitali kubwa na mashirika na ninyi muombe hizo ruzuku kwani mmekatazwa?

Bakwata bila mkono wa serikali ingeshazikwa kitambo,unadhani ile v8 anayoendesha mufti mlimchangia kwa 200 zenu akanunua dhubutu,kwa jinsi mlivyojaa ubinafsi hata luku za msikitini mnashindwa kulipa.
 
Serikali iiombe Bugando iwe hospitali ya rufaa, the same to KCMC, sumve iombwe kuwa hospitali teule na nyingine nyingi tu ambapo mpaka hapo serikali inakwepa wajibu wake na inakuwa imepata kitonga, halafu wewe na na ile jamii yenu mnataka serikali isitoe hela?
Kama ni rahisi sana waislamu si na wao wajenge zao na wao wapate ruzuku?

Hivi hospitali kubwa ya taasisi ya kiislamu yenye hadhi ya Bugando/KCMC au hata Sumve, Sengerema, ni ipi Tanzania?
 
Bakwata inaendeshwa na pesa toka wapi?
Hakuna taasisi ina nyumba nyingi (real estate) kuzidi bakwata nchi hii,halafu imma,sheikh, ustaadh huwa Wana shughuli zao za kuwaingizia vipato,kinachohitajika msikitini ni umeme na maji ambavyo hulipiwa na waumini
 
Fungueni hospitali kubwa na mashirika na ninyi muombe hizo ruzuku kwani mmekatazwa?

Bakwata bila mkono wa serikali ingeshazikwa kitambo,unadhani ile v8 anayoendesha mufti mlimchangia kwa 200 zenu akanunua dhubutu,kwa jinsi mlivyojaa ubinafsi hata luku za msikitini mnashindwa kulipa.
Mbona agha khan hapewi ruzuku?.. umeme na maji msikitini hulipia wewe!?..kuna watu wanajua kutoa sadaka kuzidi waislam !?
 
Serikali iiombe Bugando iwe hospitali ya rufaa, the same to KCMC, sumve iombwe kuwa hospitali teule na nyingine nyingi tu ambapo mpaka hapo serikali inakwepa wajibu wake na inakuwa imepata kitonga, halafu wewe na na ile jamii yenu mnataka serikali isitoe hela?
Kama ni rahisi sana waislamu si na wao wajenge zao na wao wapate ruzuku?

Hivi hospitali kubwa ya taasisi ya kiislamu yenye hadhi ya Bugando/KCMC au hata Sumve, Sengerema, ni ipi Tanzania?
Hiyo ni mitego ya kupiga pesa, padre sivalon alishasema bila ya serikali taasisi za kanisa zingekufa,yaani pesa za serikali zinakua mtaji kwa taasisi za kanisa
 
Top Ngo Usaid Recipients (fiscal Years 2013-2022)​

1. Catholic Relief Services: $4.6 billion (nonprofit)

2. Chemonics International: $4.5 billion (for-profit)

3. FHI 360: $3.8 billion (nonprofit)

4. Development Alternatives, Inc.: $3 billion (for-profit)

5. ABT Associates, Inc.: $2.6 billion (for-profit)

6. RTI International: $2.3 billion (research institute)

7. John Snow International: $1.8 billion (nonprofit)

8. Save the Children Federation, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)

9. ARD, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)

10. Jhpiego Corporation: $1.3 billion (nonprofit)

11. Deloitte: $1.2 billion (for-profit)

12. World Vision: $1.2 billion (nonprofit)

13. Mercy Corps: $1.1 billion (nonprofit)

14. ADCI/VOCA: $1.1 billion (nonprofit)

15. Population Services International: $1.1 billion (nonprofit)

Source:
View: https://www.facebook.com/forbes/posts/these-are-the-top-usaid-recipientsfrom-religious-groups-to-major-us-companiesas-/1001106715212652/?locale=pt_PT

Usaid walikuwa na kazi ya kupata habari nyeti
 
Niliwahi kuomba proposal ya USAID hayo masharti sasa yaani ilibidi kabla hujaomba inabidi utambuliwe na mifumo ya U.S na ulipie kodi then wa approve ndio uendelee na mambo ya concept note ila pale embassy kama una network nzuri wanamaliza fresh.
Ulishindwaje kupata D-U-N-S?
Mbona vitu vingine n uzembe tu!?
 
Hakuna taasisi ina nyumba nyingi (real estate) kuzidi bakwata nchi hii,halafu imma,sheikh, ustaadh huwa Wana shughuli zao za kuwaingizia vipato,kinachohitajika msikitini ni umeme na maji ambavyo hulipiwa na waumini
Ngano tu hizi ulizoaminishwa na na wewe pasipo hata kuhoji unaamini hivi mngekuwa na hizo real estates si mngekuwa mbali?
Muwe na real estates halafu mshindwe hata kuwa na university mpaka rais mkristo kuwaonea huruma akawapa majengo ya umma?
Hao maostaaz, masheikh hizo kazi unamaanisha hizi za kuuza alkasusu, dawa za kisuna?
 
Ulishindwaje kupata D-U-N-S?
Mbona vitu vingine n uzembe tu!?
Nilipambana mkuu nilikua na apply USAID Development innovation venture ila cha ajabu kuna mdau mama arusha yeye grants zikitangazwa anaitwa u.s embassy dar anaambiwa oya kuna mtonyo anapewa papers wanamalizana.
 
Ngano tu hizi ulizoaminishwa na na wewe pasipo hata kuhoji unaamini hivi mngekuwa na hizo real estates si mngekuwa mbali?
Muwe na real estates halafu mshindwe hata kuwa na university mpaka rais mkristo kuwaonea huruma akawapa majengo ya umma?
Hao maostaaz, masheikh hizo kazi unamaanisha hizi za kuuza alkasusu, dawa za kisuna?
Unajua real estate ni kitu gani?..unajua nyumba za waqfu chini ya bakwata ni ngapi?..chuo kikuu tulitaka kujenga 1960s,yule wakala wa kanisa pale ikulu akaingia field kuivunja taasisi
 
Hiyo ni mitego ya kupiga pesa, padre sivalon alishasema bila ya serikali taasisi za kanisa zingekufa,yaani pesa za serikali zinakua mtaji kwa taasisi za kanisa
Si mjenge na nyie mitego mpate pesa? Hospital zipo hata kabla ya serikali na hata baada ya serikali kuwepo haikuwa ikitoa hata cent, kwa hiyo ulichoandika ni hoja mfu.
 
Unajua real estate ni kitu gani?..unajua nyumba za waqfu chini ya bakwata ni ngapi?..chuo kikuu tulitaka kujenga 1960s,yule wakala wa kanisa pale ikulu akaingia field kuivunja taasisi
Unaendelea kuandika ngano haya baada ya cha msaada mmejenga kipi kingine?
Baada ya wakala wa kanisa kuondoka ikulu mmejenga kipi?
Wakati ikulu ikuwa na waislam mlijenga chuo kikuu kipi?
 
Back
Top Bottom