These Are The Top USAID Recipients—From Religious Groups To Major U.S. Companies—As Trump Targets Agency

These Are The Top USAID Recipients—From Religious Groups To Major U.S. Companies—As Trump Targets Agency

Si mjenge na nyie mitego mpate pesa? Hospital zipo hata kabla ya serikali na hata baada ya serikali kuwepo haikuwa ikitoa hata cent, kwa hiyo ulichoandika ni hoja mfu.
Kabla ya serikali..ya mkoloni siyo serikali?!.. walikua wakipata pesa toka mkoloni mjerumani,agha khan hospital mbona haipewi ruzuku!?
 
Unaendelea kuandika ngano haya baada ya cha msaada mmejenga kipi kingine?
Baada ya wakala wa kanisa kuondoka ikulu mmejenga kipi?
Wakati ikulu ikuwa na waislam mlijenga chuo kikuu kipi?
Tujenge chuo kikuu wakati vya serikali vipo!?..yesu alijenga vyuo vikuu na hospital,au ni sehemu za kupiga pesa!?
 
Kabla ya serikali..ya mkoloni siyo serikali?!.. walikua wakipata pesa toka mkoloni mjerumani,agha khan hospital mbona haipewi ruzuku!?
Ushawahi kutibiwa aga khan? gharama zake unazijua? Unaweza zilinganisha na Bugando, KCMC, Sumve, Sengerema?
Watanzania wangapi wenye uwezo wa kutibiwa aga khan? lakini Bugando, KCMC, Sumve, Sengerema zinawapokea!
 
Nilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.
Cha mhimu Trump ameikata na isirudi Tena ktk jina la Yesu
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Tujenge chuo kikuu wakati vya serikali vipo!?..yesu alijenga vyuo vikuu na hospital,au ni sehemu za kupiga pesa!?
Kwa akili hizi za kuisubiria serikali halafu bakwata hii mliyoundiwa na ccm iwe na real estates kibao kuliko taasisi yoyote.
 
Cha mhimu Trump ameikata na isirudi Tena ktk jina la Yesu
Misaada itaendelea kutolewa japo kwa kiwango, namna na taratibu nyingine, kumbuka kuna nchi kutoa msaada huwa wanamaanisha kutoa sadaka na hivyo basi sadaka zaweza kupungua kiasi na pengine kiasi kikubwa, na namna ya kutolewa but si kuokutolewa kabisaaaa.
Ingawa ni kweli misaada itapungua sana na hii vilevile ni kwa kuwa hizi ni nyakati za mwisho.
 
manongea sana ila mkae mjue imegubdulika pia marekan kuna watumish hewa walilipwa $bil100 kupitia mfumo wa SSN
 
Aisee nilikuwa na mpango wa kuanzisha NGO kufukuzia hizi hizi feza za U. S sasa naona hamna haja tena wameshituka
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Nilipambana mkuu nilikua na apply USAID Development innovation venture ila cha ajabu kuna mdau mama arusha yeye grants zikitangazwa anaitwa u.s embassy dar anaambiwa oya kuna mtonyo anapewa papers wanamalizana.
Huu ujinga upo sana
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Hakuna taasisi ina nyumba nyingi (real estate) kuzidi bakwata nchi hii,halafu imma,sheikh, ustaadh huwa Wana shughuli zao za kuwaingizia vipato,kinachohitajika msikitini ni umeme na maji ambavyo hulipiwa na waumini

Tusingependa kuingiza mambo ya udini, tunaharibu mada, lakini hivi Tanzania kulikuwa na kitu kama Real Estate Bakwata ilipoanza? Tunajua Bakwata ilipoanza, tunajua wamiliki wa majengo Tanzania ni nani baada ya Nyerere kutaifisha mali za Wahindi! Lakini nauliza tu Mada haikuwa ya udini hii! Anyway watu tumetofautiana sana!
 
Jamaa mwongo sana! Ule mfumo ni wa serikali ya Marekani kujisajili ni bure! Hakuna mahali unalipa Kodi ndiyo utume concept note ni uongo wa mchana kweupe huo!
Hapa kila mtanzania kafanya kazi mashirika ya marekani na taarifa zq kuiniq zq uongo hakuna anaepita na kusoma akajifunzq kila mtu ni case study/sample hahaa
 
Tusingependa kuingiza mambo ya udini, tunaharibu mada, lakini hivi Tanzania kulikuwa na kitu kama Real Estate Bakwata ilipoanza? Tunajua Bakwata ilipoanza, tunajua wamiliki wa majengo Tanzania ni nani baada ya Nyerere kutaifisha mali za Wahindi! Lakini nauliza tu Mada haikuwa ya udini hii! Anyway watu tumetofautiana sana!
Real estate ni nini?
 
Ushawahi kutibiwa aga khan? gharama zake unazijua? Unaweza zilinganisha na Bugando, KCMC, Sumve, Sengerema?
Watanzania wangapi wenye uwezo wa kutibiwa aga khan? lakini Bugando, KCMC, Sumve, Sengerema zinawapokea!
Gharama za bugando, kcmc zishalalamikiwa sana,zipo' juu ya muhimbili ilhali wanapata ruzuku, serikali ikiweka ruzuku agha khan bei itapungua,hoja hapa ni kwa nini agha khan hawana ruzuku
 
Gharama za bugando, kcmc zishalalamikiwa sana,zipo' juu ya muhimbili ilhali wanapata ruzuku, serikali ikiweka ruzuku agha khan bei itapungua,hoja hapa ni kwa nini agha khan hawana ruzuku
Aga Khan haihudumii wa vipato vya chini kumuona specialist wa dental ni zaidi ya TZS 170,000 per single visit wananchi wangapi wanaweza mudu hiyo gharama?
Hata hiyo ruzuku isingetosha halafu elewa aga khan haikuanzishwa ili kuhudumia maskini hamna issue za charity pale ni biashara ile kama ilivyo saifee, tmj, hindumandal na regency sasa ushawahi kusikia saifee, tmj au regency wanaombwa na serikali watoe huduma pungufu ya bei then wapewe ruzuku?
Unafikiri Aga Khan hata wangeombwa wangekubali? unafikiri Aga khan wanapenda kuhudumia wagonjwa hohe hahe tena wengi ka nyuki? ile ni hospital ya wanaojimudu kichumi ni ya wachache ile huwezi linganisha na KCMC au Bugando inayohudumia mpaka mwananchi maskini wa kutupwa hohehahe wa kazuramimba.
KCMC, Bugando lengo ni kuhudumia maskini kabisaa na kuna sadaka kibao za watu mle na ndiyo maana zilianzishwa ilikuwa ni watu walitoa sadaka zao kuwasaidia wengine.
Aga Khan ni pure business na ni kwa ajili ya wachache
Infact vitu vya Aga Khan ni kwa ajili ya wachache na wenye hela na hasa jamii yao na sio akina pangu pakavu. Akina pangu pakavu wao watibiwe za kanisa na serikalini.
 
Gharama za bugando, kcmc zishalalamikiwa sana,zipo' juu ya muhimbili ilhali wanapata ruzuku, serikali ikiweka ruzuku agha khan bei itapungua,hoja hapa ni kwa nini agha khan hawana ruzuku
bakwata na wao wafungue hospital zao kupunguza msongamano kcmc, bugando hata sheikh mwaipopo huwausia sana waislam wasome sana wawe na madokta weeengi maana si jambo jema akina mama wa kiislam kuonwa tupu zao na madokta wa kikristo.
 
Top Ngo Usaid Recipients (fiscal Years 2013-2022)​

1. Catholic Relief Services: $4.6 billion (nonprofit)

2. Chemonics International: $4.5 billion (for-profit)

3. FHI 360: $3.8 billion (nonprofit)

4. Development Alternatives, Inc.: $3 billion (for-profit)

5. ABT Associates, Inc.: $2.6 billion (for-profit)

6. RTI International: $2.3 billion (research institute)

7. John Snow International: $1.8 billion (nonprofit)

8. Save the Children Federation, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)

9. ARD, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)

10. Jhpiego Corporation: $1.3 billion (nonprofit)

11. Deloitte: $1.2 billion (for-profit)

12. World Vision: $1.2 billion (nonprofit)

13. Mercy Corps: $1.1 billion (nonprofit)

14. ADCI/VOCA: $1.1 billion (nonprofit)

15. Population Services International: $1.1 billion (nonprofit)

Source:
View: https://www.facebook.com/forbes/posts/these-are-the-top-usaid-recipientsfrom-religious-groups-to-major-us-companiesas-/1001106715212652/?locale=pt_PT

Iyo miela yote imewatajirisha wachache,haswa hao wakristo
 
bakwata na wao wafungue hospital zao kupunguza msongamano kcmc, bugando hata sheikh mwaipopo huwausia sana waislam wasome sana wawe na madokta weeengi maana si jambo jema akina mama wa kiislam kuonwa tupu zao na madokta wa kikristo.
Bakwata ni chombo cha serikali kudhibiti waislam
 
Nilishasema na nitarudia USAID haikuwa kwa manufaa ya waafrika bali tulikuwa mbuzi wa kafara mf. RTI walikuwa na miradi Tanzania lakini ofisi kuu ipo marekani kuanzia tenda kila kitu huku tunakula makombo tu.
Hata wakina Care International Makao makuu ni Marekani huko,
 
Back
Top Bottom