Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Monaco walifanya biashara kichaaa ya kuuza wachezaji wake na kudhani falcao ataibeba team. Wacha washukè daraja akili ziwarudièe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Monaco Wamchukue Nsajigwa aka scaniaIkiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Brugge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na gundu la mguu wa kushoto , ukocha si lelemama.
Namtabiria kutimuliwa kwa aibu .
bila Shaka mkuuSafi! Umenena mkuu nadhani sasa wataelewa kuwa kocha mwenye mafanikio unahitaji nini.