Yaani unamaanisha Kama hivi...Wanazingua sana mkuu, wanaume wote inatakiwa tuwe na msimamo mmoja tu chura kwanza.
Sasa hawa wengine wanakuja na Thigh Gap mara dimpos juu ya tako mara sijui ujinga gani mwisho wa siku dada zetu wanaenda mrama.
🤣🤣Uzuri wa mtu huuona waangaliaji....Kwa wembamba ipo Sana, nikiwaga chamkondeo ndo nakuwaga nacho hicho kinafasi Kwanza kinaniboaga sana
Upo sahihi.. navyojua mimi thigh gape ni kwa Wanawake wenye shape hasa mapaja ya kutosha na sio hawa wembamba.. huwa kuna kauwazi kadogo sana kanabakia ile ndio thigh gape OG.Kuna thigh gap, halafu kuna matege! Hayo uliyopost hapo ni matege. Thigh gap ni nafasi ndogo sana wenyewe wanaita "bullet hole" na hii inatakiwa ionekane wakati mapaja yamegusana.
View attachment 1984287
Me ngoja nipite zanguNn Tena mkuu
Sivipendi kabisa na vinaonekana haswaa ukivaa surualiWakati Kuna watu humu ndani nmeona wanavililia hivyo vinafasi[emoji1]
Vinanikoseshaga kujiamini,ila kwasasa nimenenepa kwahiyo hicho kiuwazi kimefunikwa na mapaja🤣🤣Uzuri wa mtu huuona waangaliaji....
Haswaaaa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059]Yaani unamaanisha Kama hivi...View attachment 1984329
Kwa hizi sarakasi naona wewe utakua ni miongoni mwa wenye Thigh Gap.[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Bora ulivyonenepa mamie na nyama za backward zitaongezeka, ila ukiwa na hivyo vidude chura utakua unaiona tu wenzio.Vinanikoseshaga kujiamini,ila kwasasa nimenenepa kwahiyo hicho kiuwazi kimefunikwa na mapaja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akuuuuuKwa hizi sarakasi naona wewe utakua ni miongoni mwa wenye Thigh Gap.
Ni kweli chura Sina kabisaBora ulivyonenepa mamie na nyama za backward zitaongezeka, ila ukiwa na hivyo vidude chura utakua unaiona tu wenzio.