THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

Wanazingua sana mkuu, wanaume wote inatakiwa tuwe na msimamo mmoja tu chura kwanza.
Sasa hawa wengine wanakuja na Thigh Gap mara dimpos juu ya tako mara sijui ujinga gani mwisho wa siku dada zetu wanaenda mrama.
Yaani unamaanisha Kama hivi...
images%20(13).jpg
 
Kwa wembamba ipo Sana, nikiwaga chamkondeo ndo nakuwaga nacho hicho kinafasi Kwanza kinaniboaga sana
Wakati Kuna watu humu ndani nmeona wanavililia hivyo vinafasi[emoji1]
 
Kuna thigh gap, halafu kuna matege! Hayo uliyopost hapo ni matege. Thigh gap ni nafasi ndogo sana wenyewe wanaita "bullet hole" na hii inatakiwa ionekane wakati mapaja yamegusana.

View attachment 1984287
Upo sahihi.. navyojua mimi thigh gape ni kwa Wanawake wenye shape hasa mapaja ya kutosha na sio hawa wembamba.. huwa kuna kauwazi kadogo sana kanabakia ile ndio thigh gape OG.

Mwanamke mwembaba lazm awe na uwazi tu coz mapaj hayashikani huwez ita thigh gape ile
 
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Kwa hizi sarakasi naona wewe utakua ni miongoni mwa wenye Thigh Gap.
 
Vinanikoseshaga kujiamini,ila kwasasa nimenenepa kwahiyo hicho kiuwazi kimefunikwa na mapaja
Bora ulivyonenepa mamie na nyama za backward zitaongezeka, ila ukiwa na hivyo vidude chura utakua unaiona tu wenzio.
 
Kiukweli,
Kuna moment flan kwenye gari zikikukuta uko pamoja na baby,

Afu Bahati mbaya mapaja yake ndo vile yakawa hayagusani,

Kwakweli,
inakua Ni changamoto sana[emoji1][emoji116]
images%20(19).jpg

[emoji39]View attachment 1984367
 
Kumbe hii kitu ina fans, nlikuwa cjui.
Binafsi sipend mwonekano wa aina hii ya wanawake coz motions zao hazijawah kuwa romantic.
 
Back
Top Bottom