DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #61
Yaani unamaanisha Kama hivi...Wanazingua sana mkuu, wanaume wote inatakiwa tuwe na msimamo mmoja tu chura kwanza.
Sasa hawa wengine wanakuja na Thigh Gap mara dimpos juu ya tako mara sijui ujinga gani mwisho wa siku dada zetu wanaenda mrama.