Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Nani anayepanga bei?chi haichagui mizigo yake ipitie wapi (unless mizigo hio ni zana za kivita), kampuni za meli ndo huamua mfumo jinsi gani mzigo utafika bandarini mwenu kwa bei nafuu,salama na kwa haraka zaidi.
1.Mwenye bandari
2.Mwenye mizigo
3. Shipphing agencies....