Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

chi haichagui mizigo yake ipitie wapi (unless mizigo hio ni zana za kivita), kampuni za meli ndo huamua mfumo jinsi gani mzigo utafika bandarini mwenu kwa bei nafuu,salama na kwa haraka zaidi.
Nani anayepanga bei?

1.Mwenye bandari
2.Mwenye mizigo
3. Shipphing agencies....
 
Tunagesi nyingi tutauza Hadi ulaya au Asia.tunawauzia gesi tunaingiza hela.ndo maana mtaendelea kuwa tegemezi.unajua utegemezi wa gesi?
Hiyo gesi Kwani mnatuuzia tutupe😛Hiyo Gesi tutapeleka kwa Viwanda tufanye Biashara nayo,Mpaka mtastukia kwa creativeness ambayo Tuko nayo
 
Mapato moja Kwa moja inaenda Kwa Watanzania.unajua mapato ya gesi wewe?
Ata sisi Kenya tunauzianga Wazungu Kahawa,Wana Process alafu wanauza kwa Nchi Zengine,Sisi hio gesi tutatumia kuendeleza Viwanda vyetu,Ni Cheap Fuel
 
Alafu tunauzia nchi zingine[emoji23][emoji23]. Mbona usijiulize mbona pipeline inaenda Mombasa badala ya Nairobi wakati viwanda vingi viko Nairobi? Sometimes just sit down and think before you talk. The pipeline will go directly to Mombasa Port, hapo tayari tushawapiga bao.
Hiyo mtajua wenyewe mnatupa mpunga wa kutosha tunawapa gesi na Uganda pia tutawauzia gesi.mkizingua tunakata supply.soon tutakuwa superpower wa East afrika mpaka kiuchumi.mnanunua gesi afrika mashariki nzima Nani hapo ananufaika.
 
wakifanya fyo tuna-implement gas blockade kama Russia inavyowafinya EU! 🤣 🤣 💪
 
Hiyo mtajua wenyewe mnatupa mpunga wa kutosha tunawapa gesi na Uganda pia tutawauzia gesi.mkizingua tunakata supply.soon tutakuwa superpower wa East afrika mpaka kiuchumi.mnanunua gesi afrika mashariki nzima Nani hapo ananufaika.
Hata Mexico inauzia USA gesi lakini haijaikuwa superpower.
 
Hiyo gesi Kwani mnatuuzia tutupe[emoji14]Hiyo Gesi tutapeleka kwa Viwanda tufanye Biashara nayo,Mpaka mtastukia kwa creativeness ambayo Tuko nayo
Mpaka sasa hivi mtwara kuna viwanda vingi vya gesi na zingine zinajengwa.kuna LPG inajengwa pia we are going to be superpower.mkizingua tunawakatia gesi.way to power.
 
wakifanya fyo tuna-implement gas blockade kama Russia inavyowafinya EU! [emoji1787] [emoji1787] [emoji123]
We waache Tu.[emoji23][emoji23][emoji23]hawajui tunaenda kuwa superpower kiuchumi Kwa sababu kisiasa na kijeshi tayari
 
Hiyo mtajua wenyewe mnatupa mpunga wa kutosha tunawapa gesi na Uganda pia tutawauzia gesi.mkizingua tunakata supply.soon tutakuwa superpower wa East afrika mpaka kiuchumi.mnanunua gesi afrika mashariki nzima Nani hapo ananufaika.
Kwan mnathani Nyinyi Ndio Jirani ambaye wako na Gesi pekee😃Unajua pia Kenya iko na Gesi Lakini haijaanza kutolewa sjui mpango yao Ni Gani????🤔🤔😛
 
Na si mlikuwa mmenunia Baba yenu(Kenya) si mgekataa kuja,Unanikumbusha Mtoto flani alikuwa akithrow Tuntrums Nikampa Switi😛Akaanza kujifanya hataki,Nikampa Maid ampe hio Switi Kumbe alikuwa anaitaka🤣🤣🤣🤣🤣
Ahahahahahaha yaani umtume waziri wako aje nchini kwetu kuleta mualiko halafu mimi nikatae? wewe ndio dhaifu mkubwa kwanini ulete mualiko kwa nchi ambayo hauna Maslahi nayo, Wakenya nakwambia ndio maana Magufuli aliwashughulikia sanaaaaaaa, halafu kwa uoga mlionao adi bungeni mnampeleka akahutubie ahahahahhaha
 
Back
Top Bottom