technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Lazima kuna moves behind!Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
acha kiburi gentleman,Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je Kuna kitu kinapikwa?
Je Kuna watu wanatafutwa?
Je biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Chizi karogwa tenaacha kiburi gentleman,
zingatia maelezo na ushauri wa kitabibi wa wataalamu wa afya,
ni dhambi kungamia kilofa kwa kiburi nonsense au kwa kukosa maarifa kwa kupumbazwa na kiburi useless
tuliza nonsense zwazwa lofaChizi karogwa tena
Wizara zisifanye kazi kisa mauaji ya October 29?.Mnatolewa kwenye mijadala ya mauaji ya Watanganyika yaliyofanywa na Wazanzibari ili Mzanzibari mwenzao aitawale Tanganyika.
Kitabibi ndo wapi?acha kiburi gentleman,
zingatia maelezo na ushauri wa kitabibi wa wataalamu wa afya,
ni dhambi kungamia kilofa kwa kiburi nonsense au kwa kukosa maarifa kwa kupumbazwa na kiburi useless