a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
NI Kweli magonjwa ya kuambikiza yanawadhuru zaidi wenye kinga za chini ?COVID siku zote haipigi vijana wenye immunity kubwa, ina deal na wazee na watu wenye magonjwa sugu, so unaweza ukaona kwako sio tatizo ila wewe ndio ukawa source ya kuua wengine.
lakini 1)mortality rate ya SARSCOV2 COVID19;ni asilimia ngapi??
na je watu wangapi tumeshaumwa kuwa exposed na maambukizi ya virusi vya njia ya hewa..na kuumwa na mbu wenye vimelea vya dengue..
ambapo miili yetu tayari imeshajitengenezea KINGA DHIDI YA VIRUSI acquired natural immunity...na jamii imeshatemgeneza Herds immunity mana hii vizuri vya homa vimekuwa ni endemic tu tunaishi navyo toka covid 19 ,2019 ...
NAFIKIRI KATIKA KU HANDLE ISSUE YA COVID MAGUFULI alifanya vizuri...
kuwaondoa watu HOFU NA WOGA wasiwasi mashaka STRESS juu ya covid
mana mafua ni self limiting. baada ya muda vinakwisha vyenyewe...virusi vinaisha vyenyewe ...na kasi ya maambukizi ni kubwa katika jamii..lakini yupo Mungu ALETAYE UZIMA...HATUTAKUFA BALI TUTAISHI NASI TUTAYASIMILIA MATENDO MAKUU YA MUNGU...TUSIOGOPE...aletaye uzima na ile nguvu izuiaye mabaya inatenda kazi sasa..TUWEKE IMANI yetu kwa Mungu ..sio vitu..sio chanjo...sio kunawa mikono...sio kikimbia...yupo MUNGU ambaye ulimwengu mzima dunia na wote wakaao ni mali yake na ni kazi ya mikono yake.
LOCKDOWN ...sio approach nzuri.
Chanjo pia kadhalika...
watu walikuwa wanapaka sanitaiza kika baada ya dakika 5,wanavaa mask,..wengine mpaka gloves mikononi wanatembea nazo sokoni...ile HOFU iliyokuwepo watu wakaweka imani yao kwenye BARAKOA NA SANITAIZA ,na CHANJO..tukasikia KUJIFUKIZA KUPIGA NYUNGU..kama ndio uzima wao...YUPO MUNGU .TUWEKE TUMAINI LETU KWA MUNGU..
Mungu ndiye anayekulinda sio kingine..huwezi KUJIOKOA KWA NGUVU ZAKO MWENYEWE usije ukajisifu.