Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
I think so, huenda angelengwa makusudi.Bora Lissu yupo jela, otherwise angeuwawa ile October 29!! Believe me
I think so, huenda angelengwa makusudi.Bora Lissu yupo jela, otherwise angeuwawa ile October 29!! Believe me
chanjo yoyote itakayokuja katika zama hizi za mwisho usichanje iwe ya ukimwi iwe ya mafua iwe yoyote CHAPA YA MNYAMA itakuja kama CHANJO na kama NEURO LINK ama kifaa kitakachowekwa mwilini mwako kilichokuwa integrated na mifumo yote ya utambulisho kadi mawasiliano nantaarifa zako zote..pia kitakachosaidia KUZUIA MAGONJWA na kukupa taarifa za mwwnendi wa afya yako dalili za magonjwa mapema ...na matibabu ya mifumo ya fahamu..Una maoni gani na chanjo ya ukimwi ama dawa ya kufubaza VVU kwa sindano mbili tu kwa mwaka!! Mbona sioni mkiipigia kelele pia au chanjo mbaya ni ya Covid 19 pekee?
Mafua makali na homa watu walianza kuugua kuanzia mwaka unaanza.kama health center wamethibitisha uwepo wa mafua makali na uviko 19 watu wanapaswa kuchukua tahadhari.
Kwa taarifa yako chapa ya mnyama ilishakuja kitambo katika mfumo wa elimu, pesa, internet n.k. Usisubirie sana!chanjo yoyote itakayokuja katika zama hizi za mwisho usichanje iwe ya ukimwi iwe ya mafua iwe yoyote CHAPA YA MNYAMA itakuja kama CHANJO na kama NEURO LINK ama kifaa kitakachowekwa mwilini mwako kilichokuwa integrated na mifumo yote ya utambulisho kadi mawasiliano nantaarifa zako zote..pia kitakachosaidia KUZUIA MAGONJWA na kukupa taarifa za mwwnendi wa afya yako dalili za magonjwa mapema ...na matibabu ya mifumo ya fahamu..
itaonekana kama ni suluhisho ama jambo zuri au maendeleo ya DIGITALIA cardless,no hard copies just digital money ,no mobile phones just unatumia hiyo mocrochip iliyo mwilini mwako..
UKIIKWEPA kwenye chanjo unakutana nayo neurolink microchip..kwenye paji la uso ama mkononi..
watakao onekana kuikataa wataonekana wanahatarisha usalama ama wapinzani ..watachukiwa na kuwa prosecuted
wengi wataipokea chapa ya mnyama na kuifurahia..bila kujua wamepokea CHAPA NAMBA 666 YA SHETANI na kuzimu..
hutaweza KUFANYA CHOCHOTE kuuza wala kununua wala kumiliki chichote cha duniani bila hiyo chapa ya mnyama...na bado walioikataa watakuwa wanawindws hata na ndugu zao..wataishi maisha ya kukimbia kimbia..
lakini Mungu atawatetea hawataishi kwa mkate tu...hata wakikosa chakula Mungu atawapa chakula...na wenye kuvumilia mpaka mwisho ndio watakao okolewa.
Ni kweli mkuu unachosema ,ila hizo chapa za elimu ,pesa,internent,na chanjo tulizokwisha kuchanja zilizopita(MUNGU ATATUSAMehe...REHEMAKwa taarifa yako chapa ya mnyama ilishakuja kitambo katika mfumo wa elimu, pesa, internet n.k. Usisubirie sana!
Ni kweli hakuna cha propaganda ,kuna jamaa yangu hadi alilazwa alikuwa na homa kali + flu na pia washikaji wangu wa karibu wawili last week walikuwa wanajisikia vibaya ,viungo kuumwa ,kukooa na kabla hata ya kutangaza jana siku tatu nyuma moja ya Dr alisema kwamba "FUTA" lipo.Covid ipo Mkuu, nilipatwa na dalili zake wiki 2 zilizopita. Kwa sasa naendele vizuri. Nashukuru wizara ya afya wametangaza tangu jana.
Yaani mtu mmemfunga almost mwaka mzima alafu mnataka mumlaumu kwa MO29? mpo serious kweli? Kwahiyo lissu ana ushawishi kuliko nyie? Kwamba hata akiwa jela anasikilizwa kuliko mnaohubiri amani kila siku?Lissu ni mwanasiasa hatari sana kwa kauli zake zenye kujaa ujuaji na dharau. Hakuanza awamu ya SSH tangu miaka ya hayati JPM.
Kauli zake zinaweza kumtia hatiani ikiwa ICC watafanya upelelezi wa kina juu ya kilichotokea October 29.
Kauli zinazotoka midomoni mwetu zinatupeleka mbinguni au kwenye moto wa milele.Yaani mtu mmemfunga almost mwaka mzima alafu mnataka mumlaumu kwa MO29? mpo serious kweli? Kwahiyo lissu ana ushawishi kuliko nyie? Kwamba hata akiwa jela anasikilizwa kuliko mnaohubiri amani kila siku?
Mnapotosha saa maandiko!! Mpaka kibiblia mambo ya chapa yanakuja baada wateule kunyakuliwa kwenda mbinguni!! Sasa chapa iwe ni microchip, sijui chanjo or whatever ina maana tayari unyakuzi umepita!!chanjo yoyote itakayokuja katika zama hizi za mwisho usichanje iwe ya ukimwi iwe ya mafua iwe yoyote CHAPA YA MNYAMA itakuja kama CHANJO na kama NEURO LINK ama kifaa kitakachowekwa mwilini mwako kilichokuwa integrated na mifumo yote ya utambulisho kadi mawasiliano nantaarifa zako zote..pia kitakachosaidia KUZUIA MAGONJWA na kukupa taarifa za mwwnendi wa afya yako dalili za magonjwa mapema ...na matibabu ya mifumo ya fahamu..
itaonekana kama ni suluhisho ama jambo zuri au maendeleo ya DIGITALIA cardless,no hard copies just digital money ,no mobile phones just unatumia hiyo mocrochip iliyo mwilini mwako..
UKIIKWEPA kwenye chanjo unakutana nayo neurolink microchip..kwenye paji la uso ama mkononi..
watakao onekana kuikataa wataonekana wanahatarisha usalama ama wapinzani ..watachukiwa na kuwa prosecuted
wengi wataipokea chapa ya mnyama na kuifurahia..bila kujua wamepokea CHAPA NAMBA 666 YA SHETANI na kuzimu..
hutaweza KUFANYA CHOCHOTE kuuza wala kununua wala kumiliki chichote cha duniani bila hiyo chapa ya mnyama...na bado walioikataa watakuwa wanawindws hata na ndugu zao..wataishi maisha ya kukimbia kimbia..
lakini Mungu atawatetea hawataishi kwa mkate tu...hata wakikosa chakula Mungu atawapa chakula...na wenye kuvumilia mpaka mwisho ndio watakao okolewa.
unyakuo unatokea any time sasa hivi kabla ya 2030.Mnapotosha saa maandiko!! Mpaka kibiblia mambo ya chapa yanakuja baada wateule kunyakuliwa kwenda mbinguni!! Sasa chapa iwe ni microchip, sijui chanjo or whatever ina maana tayari unyakuzi umepita!!
Sasa swali langu? Je unyakuzi uliotabiriwa kwenye biblia umeshapita?
Wajinga wameisha, mnatangaza magonjwa wala huko serekalini hatuoni hatua zozote za tahadhari zikichukiliwa. Kama kuna covid mbona viongozi wa serekali hawavai barakoa? Mbona hatuoni sinatozer na maji tiriririka kwenye ofisi za serekali?Wizara zisifanye kazi kisa mauaji ya October 29?.
Msione kitu kinafanyika mnakimbilia kuhoji October29.
Kila anachofanya binadamu huja, huwepo kisha huondoka.
Punguzeni nongwa waungwana.
Kwanza linatolewa onyo kabla majanga hayajaanza kutesa wananchi.Wajinga wameisha, mnatangaza magonjwa wala huko serekalini hatuoni hatua zozote za tahadhari zikichukiliwa. Kama kuna covid mbona viongozi wa serekali hawavai barakoa? Mbona hatuoni sinatozer na maji tiriririka kwenye ofisi za serekali?
Hakika, ila patachimbikaNina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Vyote vinachanganywa pamoja au kimoja wapo tu?Yes mkuu ndio maana hivi vitu sio wakati wa mvua tu jizoeshen kutumia
MALIMAO
NDIMU
GARLIC
GINGER
MDALASINI
TUMERIC
FENELSEED NK
CHEMSHA WEKA KAMA CHAI YAKO JION ALWAYS
Inajulikana wazi sasa kwamba watekelezaji wa maovu yote hayo ni watu kama wewe.Lissu ni mwanasiasa hatari sana kwa kauli zake zenye kujaa ujuaji na dharau. Hakuanza awamu ya SSH tangu miaka ya hayati JPM.
Kauli zake zinaweza kumtia hatiani ikiwa ICC watafanya upelelezi wa kina juu ya kilichotokea October 29.
Sasa ndiyo watubanie Hata upatikanaji wa internet uwe w kuunga unga?Lazima kuna moves behind!