Thinking far: Kutangaza uwepo wa COVID-19 ni mkakati wa kutengeneza matukio?

CHANJO ITAKAYOKUJA HIVI KARIBUNI MSICHANJE NI CHAPA YA SHETANI ina kazi yake ya uharibifu katika system yako kimwili na KIROHO ni ya shetani kutoka kuzimu.
 
Ni kweli hayo magonjwa yapo ,lakini Mungu wetu yupo anayetulinda...ambaye anasema USIOGOPE

WOGA
ni dhambi...tusiogope Mungu yupo pamoja nasi.
SISI HATUWEZI kujiokoa bila msaada wa Mungu.

TULusizutegemee akili zetu wenyewe
NI NANI anayeweza kusema kwamba yupo hai leo ..kwa sababu ya nguvu zake mwenyewe.

Hata sasa BWANA MUNGU ametusaidia,Kama isingelikuwa Mungu Israeli na aseme sasa
Ni huruma zake Bwana mpaka sasa hatu angamii.

Ni nani awezaye kuongeza urefu wa siku zake za kuishi kwa kujihangaisha.

Sio kwamba sisi tulio hai leo ni kwa jitihada zetu binafsi au nguvu zetu wenyewe..HATUWEZI kufanya jambo lolote bila Mungu.

HOFU NA WOGA HAZISAIDII KITU...

CHANJO PIA PIA HAITASAIDIA.

CHANJO ITAKAYOKUJA USICHAJE..hata ile iliyopita ya korona haikutakiwa uchanje ,kama ulichanja Mungu atusamehe..ila HIYO ITAKAYOKUJA usichanje tens..NI CHAPA 666.
Umeandika point nzuri sana, ila kuja kuingiza huu ujinga wa 666 nimeona na wewe una shida brain washed.
 
Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki

Je, Kuna kitu kinapikwa?

Je, Kuna watu wanatafutwa?

Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?

Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama

Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k

Be careful!!
Acheni siasa na ujinga wenu kwenye kila Jambo, watu wanaumwa na Kufa mtaani, binafsi pia naumwa na hayo mafua makali, humu jf kuna ushuhuda kibao wa watu kuumwa na Kufa.
 
Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki

Je, Kuna kitu kinapikwa?

Je, Kuna watu wanatafutwa?

Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?

Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama

Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k

Be careful!!
Mkuu acha kutingisha meza.... Vinywaji ni vikali na bei juu...

Mkuu tutulie tuendelee kunywa taratibu Kisha tutajua mbele ya safari..
 
Ni kweli hayo magonjwa yapo ,lakini Mungu wetu yupo anayetulinda...ambaye anasema USIOGOPE

WOGA
ni dhambi...tusiogope Mungu yupo pamoja nasi.
SISI HATUWEZI kujiokoa bila msaada wa Mungu.

TULusizutegemee akili zetu wenyewe
NI NANI anayeweza kusema kwamba yupo hai leo ..kwa sababu ya nguvu zake mwenyewe.

Hata sasa BWANA MUNGU ametusaidia,Kama isingelikuwa Mungu Israeli na aseme sasa
Ni huruma zake Bwana mpaka sasa hatu angamii.

Ni nani awezaye kuongeza urefu wa siku zake za kuishi kwa kujihangaisha.

Sio kwamba sisi tulio hai leo ni kwa jitihada zetu binafsi au nguvu zetu wenyewe..HATUWEZI kufanya jambo lolote bila Mungu.

HOFU NA WOGA HAZISAIDII KITU...

CHANJO PIA PIA HAITASAIDIA.

CHANJO ITAKAYOKUJA USICHAJE..hata ile iliyopita ya korona haikutakiwa uchanje ,kama ulichanja Mungu atusamehe..ila HIYO ITAKAYOKUJA usichanje tens..NI CHAPA 666.
COVID siku zote haipigi vijana wenye immunity kubwa, ina deal na wazee na watu wenye magonjwa sugu, so unaweza ukaona kwako sio tatizo ila wewe ndio ukawa source ya kuua wengine.
 
Hii kitu imenipiga kwa wiki mbili, hali ilikua mbaya sana, ni bora wizara imetangaza kabisa maana kule hospital Dr alisema naumwa pamoja na pumu daah
 
Wizara zisifanye kazi kisa mauaji ya October 29?.

Msione kitu kinafanyika mnakimbilia kuhoji October29.

Kila anachofanya binadamu huja, huwepo kisha huondoka.

Punguzeni nongwa waungwana.
Uchawa tu unakusumbua unaogopa kurudishwa kwenu . Hata mfanyeje mauaji ya Watanganyika zaidi ya 10,000 hayawezi kusahaulika kwa vizazi vinne vihavyo damu za ndugu zetu zinalilia kisasi.
 
Sawa na yale mauaji ya Zanzibar mwaka 2001 yataingia kwenye kumbukumbu mbaya za historia ya uwepo wa Tanzania.

Kisasi hakiwezi kukusaidia wewe, mimi, yule na mtanzania aliye mbali na sisi. Msamaha ndio mpango mzima.
 
Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki

Je, Kuna kitu kinapikwa?

Je, Kuna watu wanatafutwa?

Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?

Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama

Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k

Be careful!!
Akili zenu bana,na mnajionaga great thinkers,march kila mwaka huja na mafua makali, COVID-19 hata mwaka Jana ripoti zilisema ipo kipindi kama hiki
Suala la oktoba limeisha, wanaharakati si chochote
 
Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki

Je, Kuna kitu kinapikwa?

Je, Kuna watu wanatafutwa?

Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?

Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama

Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k

Be careful!!
Ngoja ikukute ndio utajua kuna COVID 19 na kipindupindu
 
Back
Top Bottom