NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Watu wanatafutwa...
Kiburi kikikubuhu kifuatacho ni kaburi.Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Wanasiasa wanaotumia salamu ya kutanua vidole viwili wanahusika kwa muda mrefu na hizo tuhuma za mauaji.Inajulikana wazi sasa kwamba watekelezaji wa maovu yote hayo ni watu kama wewe.
Wewe umehusika moja kwa moja kuua waTanzania.
Ni muhimu sana kuwatambua moja kwa moja mnaotumwa kutekeleza maovu.
Hata mimi nimeeashtukia, hebu wationyeshe Hao wagonjwa!Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Mafua makali, ndio umeanza kuumwa mwaka huu!?Acheni siasa na ujinga wenu kwenye kila Jambo, watu wanaumwa na Kufa mtaani, binafsi pia naumwa na hayo mafua makali, humu jf kuna ushuhuda kibao wa watu kuumwa na Kufa.
Acheni kudeka! Watu huumwa mafua makali kila Leo!Wiki mbili zilizopita ndug yangu aliumwa mafua makali sana sio kawaida aliyapata kwenye Msiba flan jiran yake alikua na mafua.
Dawa alimeza hamna k2 kalala wiki nzima hatoki nje anasema koo linawaka moto akikohoa. Hii taarifa ndo imempa idea ya alichopitia..
Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Peleka ujinga mbali.Kwanza linatolewa onyo kabla majanga hayajaanza kutesa wananchi.
Sawa na watu wa hali ya hewa wanavyoanza kwanza kutoa angalizo la mvua kubwa. Wajuaji hupinga na kuhoji lakini baada ya siku mbili au tatu mvua kubwa inaponyesha tunaanza kuyapata madhara.
We ngoja yakupate ndo utaelewa, Ngoma ya sikio ikibust ama ukikosa uwezo wa kuona ndio utaelewa kama kuna mafua na mafua makali. Huwa binafamu tunatofautiana uelewa wengine mpaka yawakute.Mafua makali, ndio umeanza kuumwa mwaka huu!?
Kitu pekee kikichotusaidia Tanzania ni tunaishi mazingira ya joto, Ila kwa watu wanaoshi mazingira ya baridi COVID inaua Sana, ratio ya vifo inafika Hadi 3-5 kwa kila watu 1000 kwenye hizo nchi za baridi.NI Kweli magonjwa ya kuambikiza yanawadhuru zaidi wenye kinga za chini ?
lakini 1)mortality rate ya SARSCOV2 COVID19;ni asilimia ngapi??
na je watu wangapi tumeshaumwa kuwa exposed na maambukizi ya virusi vya njia ya hewa..na kuumwa na mbu wenye vimelea vya dengue..
ambapo miili yetu tayari imeshajitengenezea KINGA DHIDI YA VIRUSI acquired natural immunity...na jamii imeshatemgeneza Herds immunity mana hii vizuri vya homa vimekuwa ni endemic tu tunaishi navyo toka covid 19 ,2019 ...
NAFIKIRI KATIKA KU HANDLE ISSUE YA COVID MAGUFULI alifanya vizuri...
kuwaondoa watu HOFU NA WOGA wasiwasi mashaka STRESS juu ya covid
mana mafua ni self limiting. baada ya muda vinakwisha vyenyewe...virusi vinaisha vyenyewe ...na kasi ya maambukizi ni kubwa katika jamii..lakini yupo Mungu ALETAYE UZIMA...HATUTAKUFA BALI TUTAISHI NASI TUTAYASIMILIA MATENDO MAKUU YA MUNGU...TUSIOGOPE...aletaye uzima na ile nguvu izuiaye mabaya inatenda kazi sasa..TUWEKE IMANI yetu kwa Mungu ..sio vitu..sio chanjo...sio kunawa mikono...sio kikimbia...yupo MUNGU ambaye ulimwengu mzima dunia na wote wakaao ni mali yake na ni kazi ya mikono yake.
LOCKDOWN ...sio approach nzuri.
Chanjo pia kadhalika...
watu walikuwa wanapaka sanitaiza kika baada ya dakika 5,wanavaa mask,..wengine mpaka gloves mikononi wanatembea nazo sokoni...ile HOFU iliyokuwepo watu wakaweka imani yao kwenye BARAKOA NA SANITAIZA ,na CHANJO..tukasikia KUJIFUKIZA KUPIGA NYUNGU..kama ndio uzima wao...YUPO MUNGU .TUWEKE TUMAINI LETU KWA MUNGU..
Mungu ndiye anayekulinda sio kingine..huwezi KUJIOKOA KWA NGUVU ZAKO MWENYEWE usije ukajisifu.
Mungu anatusaidia kwa neema ya Mungu.Kitu pekee kikichotusaidia Tanzania ni tunaishi mazingira ya joto, Ila kwa watu wanaoshi mazingira ya baridi COVID inaua Sana, ratio ya vifo inafika Hadi 3-5 kwa kila watu 1000 kwenye hizo nchi za baridi.
Hapa Tanzania watu wanaotumia AC na wanaojiweza wengi pia walidondoka, tatizo letu tunaficha ficha Tu data, angalia wabunge, Mawaziri, Maprofesa, Mamilionea nawatu wengi maarufu/Muhimu walivyokufa wakati wa COVID.
Na siku zote Mungu hakusaidii kama hakuna effort, huwezi ukakaa Tu eti mungu atanisaidia, hata dini zenyewe hazifundishi hivyo, mentality ya kipuuzi hio.
Sasa hivi unashinda kutwa na njaa bure; halafu bado akili zako zipo namna hii!Wanasiasa wanaotumia salamu ya kutanua vidole viwili wanahusika kwa muda mrefu na hizo tuhuma za mauaji.
Kwenye masuala ya utekaji, yaliyotokea tarehe 29 October ukifanyika upelelezi wa kina hawawezi kuchomoka.
Nipo kitandani muda huu. Hali ya hewa sio nzuri.Tuwe wakweli
Kuna Wimbi la mafua na vikohozi sasa utachagua mwenyewe.
Na ajabu viongozi waliotangaza hatuwaoni kuvaa musk na kuchukua tahadhali zoteNina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Sikujua JF kuna wapumbavu aina hii daaahLissu ni mwanasiasa hatari sana kwa kauli zake zenye kujaa ujuaji na dharau. Hakuanza awamu ya SSH tangu miaka ya hayati JPM.
Kauli zake zinaweza kumtia hatiani ikiwa ICC watafanya upelelezi wa kina juu ya kilichotokea October 29.
Mpumbavu wewe usiyekubali kupokea wazo usilolipenda.Sikujua JF kuna wapumbavu aina hii daaah