Hilo la kwamba alikufa kwa covid umelitoa wp ikiwa taarifa rasmi tulitangaziwa ni tatizo la moyoNina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
USICHOME CHANJO ITAKAYOTANGAZWA SIKU ZA MBELENI,HIYO HAITAKUWA CHANJO YA KAWAIDA ILA NI MICRO CHIP chapa ya mnyama 666
Covid ipo usibishe bwanaNina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid?
Naomba watetea haki nchi hii ongezeni ulinzi na usalama
Tundu Lissu,Bwege, Mpango, Majaliwa, Heche na n.k
Be careful!!
Wewe ndo mpumbavu wasiopenda kupokea mawazo tunawajua ndo wanateka watuMpumbavu wewe usiyekubali kupokea wazo usilolipenda.
Mbona wewe hujatekwa upo salama mbele ya laptop yako unaandika ujumbe huu kwangu?.Wewe ndo mpumbavu wasiopenda kupokea mawazo tunawajua ndo wanateka watu
Kwa hiyo ukitukana kiongozi unatakiwa utekwe sio kupelekwa kwenye vyombo vya sheria Kama mahakama?Mbona wewe hujatekwa upo salama mbele ya laptop yako unaandika ujumbe huu kwangu?.
Wale wanaojifanya vichwa ngumu kila siku wanatukana viongozi mitandaoni wanajiwekwa kwenye hatari ya kutekwa.
NAFUDIA TENA KUSEMA ILE CHANJO ITAKAYOKUJA IPO KARIBU CHANJO YA LAZIMA KWA WATU WOTE IPO KARIBU SANA KUJA...Ni kweli hayo magonjwa yapo ,lakini Mungu wetu yupo anayetulinda...ambaye anasema USIOGOPE
WOGA ni dhambi...tusiogope Mungu yupo pamoja nasi.
SISI HATUWEZI kujiokoa bila msaada wa Mungu.
TULusizutegemee akili zetu wenyewe
NI NANI anayeweza kusema kwamba yupo hai leo ..kwa sababu ya nguvu zake mwenyewe.
Hata sasa BWANA MUNGU ametusaidia,Kama isingelikuwa Mungu Israeli na aseme sasa
Ni huruma zake Bwana mpaka sasa hatu angamii.
Ni nani awezaye kuongeza urefu wa siku zake za kuishi kwa kujihangaisha.
Sio kwamba sisi tulio hai leo ni kwa jitihada zetu binafsi au nguvu zetu wenyewe..HATUWEZI kufanya jambo lolote bila Mungu.
HOFU NA WOGA HAZISAIDII KITU...
CHANJO PIA PIA HAITASAIDIA.
CHANJO ITAKAYOKUJA USICHAJE..hata ile iliyopita ya korona haikutakiwa uchanje ,kama ulichanja Mungu atusamehe..ila HIYO ITAKAYOKUJA usichanje tens..NI CHAPA 666.
huyu trump kuna kitu anajua kuhusu hizi chanjo ambacho wengine hawakijuiNi kweli hayo magonjwa yapo ,lakini Mungu wetu yupo anayetulinda...ambaye anasema USIOGOPE
WOGA ni dhambi...tusiogope Mungu yupo pamoja nasi.
SISI HATUWEZI kujiokoa bila msaada wa Mungu.
TULusizutegemee akili zetu wenyewe
NI NANI anayeweza kusema kwamba yupo hai leo ..kwa sababu ya nguvu zake mwenyewe.
Hata sasa BWANA MUNGU ametusaidia,Kama isingelikuwa Mungu Israeli na aseme sasa
Ni huruma zake Bwana mpaka sasa hatu angamii.
Ni nani awezaye kuongeza urefu wa siku zake za kuishi kwa kujihangaisha.
Sio kwamba sisi tulio hai leo ni kwa jitihada zetu binafsi au nguvu zetu wenyewe..HATUWEZI kufanya jambo lolote bila Mungu.
HOFU NA WOGA HAZISAIDII KITU...
CHANJO PIA PIA HAITASAIDIA.
CHANJO ITAKAYOKUJA USICHAJE..hata ile iliyopita ya korona haikutakiwa uchanje ,kama ulichanja Mungu atusamehe..ila HIYO ITAKAYOKUJA usichanje tens..NI CHAPA 666.
huyu trump kuna kitu anajua kuhusu hizi chanjo ambacho wengine hawakijui