Thinking far: Kutangaza uwepo wa COVID-19 ni mkakati wa kutengeneza matukio?

Hivi hii move imeishia wapi....? Niya Yao hilikuwa hovu walitaka kuipeleka ukonga wamejishitukia
 
Hilo la kwamba alikufa kwa covid umelitoa wp ikiwa taarifa rasmi tulitangaziwa ni tatizo la moyo
 
1)UNYAKUO wa watakatifu utatokea mapema 2026-2030 ukitangulia kabla ya nuclear war inayofuatia soon..mabomu ya nyuklia yataanza kutumika

2)vita ya tatu ya dunia WWIII

3)Mafuta hayatakuwepo kabisa...watu watatembea kwa miguu,panda magari ya kilukokotwa na wanayama (farasi,punda) ama baiskeli.

3)chapa ya mnyama 666 hutaweza kununua wala kuuza bila kuwa na chapa mkononi ama paji la uso(ufunuo wa yohana 13)
Digital currency,matumizi ya cardless cashless system ,..CHANJO ya lazima ambayo itakuwa na microchip..hiyo chapa ya mnyama itakuwa ndogo very micro nano meter..kupitia chanjo au small scratch...CHANJO MPYA KAMA ILE YA KORONA IKITANGAZWA MSICHANJE HIYO NI CHAPA YA SHETANI..ambayo itakubadilisha thinking yako na roho yako itakuwa mbaya na katili kama shetani itakufanya utawaliwe na shetani ..

4)dhiki kuu duniani
Mazingira tabia nchi kubadilika kuharibika kutokana na adhari za matumizi ya silaha za nyuklia..

HALI YA MAISHA katika kila nyanja kila eneo itakuwa ngumu sana ..kila kitu kitakuwa ni shida.

Tuwe tayari kwa UNYAKUO,ili siku hiyo tusiachwe duniani..LEFT BELOW..(naongea na walioamini wanaelewa maana ya unyakuo ndio huo ..muda umefika)
 
Covid ipo usibishe bwana
 
Korona ipo tunaishi nayo siku zote tangu 2019 haijawahi kuondoka kuisha ...ila majira ya mwaka yakibadilika hasa msimu wa baridi ikianza nayo inaongezeka

NI KWELI msimu wa baridi na majira ya mvua idadi inaongezeka.MAFUA yanaongezeka na vifua ,kila msimu wa mvua na baridi hali hiwa hivyo .

NI KWELI KORONA IPO.

SO NINI KIFANYIKE ...SO WHAT..???sasa Kwa hiyo tufanyaje sasa...??
 
Wewe ndo mpumbavu wasiopenda kupokea mawazo tunawajua ndo wanateka watu
Mbona wewe hujatekwa upo salama mbele ya laptop yako unaandika ujumbe huu kwangu?.

Wale wanaojifanya vichwa ngumu kila siku wanatukana viongozi mitandaoni wanajiwekwa kwenye hatari ya kutekwa.
 
NAFUDIA TENA KUSEMA ILE CHANJO ITAKAYOKUJA IPO KARIBU CHANJO YA LAZIMA KWA WATU WOTE IPO KARIBU SANA KUJA...

Hiyo chanjo ni chapa CHAPA ...

MWANA WA MUNGU USICHANJE HIYO CHANJO.
Kama huamini unabii huu ,kaa vizuri na Roho mtakatifu...muulize Mungu wako..akufunulie akusemeshe hata katika ndoto...

USICHANJE HIYO CHANJO ITAKAYOKUJA UTAKUWA UMEPOKEA CHAPA...

zipo njia nyingi za kupokea chapa hiyo chanjo ni mojawapo.
japo zipo njia nyingine pia.
 
huyu trump kuna kitu anajua kuhusu hizi chanjo ambacho wengine hawakijui
 

Attachments

  • images - 2026-05-10T215236.486.jpeg
    23 KB · Views: 7
  • IMG-20260510-WA0034.jpg
    87.7 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…