Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #41
Animal farm!"ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT, SOME ARE MORE EQUAL THAN OTHERS"
HIVI HUWA HAMNA CHA MAANA CHA KUZUNGUMZA? JPM AMESOMA UDSM RECORDS ZIPO WATU WALIOSOMA NAYE WAPO NA WENYE KUCHAMBUA HUMU NDANI WALIWAHI KULETA PICHA ZAKE AKIWA MWALIMU WA SHULE SASA HUO UFEKI NI UPI??? JAMANI HILI JAMVI MBONA MNALIDHALILISHA NAMNA HII? SI MWENDE KWENYE FACEBOOK NA MITANDAO YA KIPUUZI AMBAYO SIKU HIZI IMEJAA. SIKU ZOTE NIMEKUWA NIKIAMINI KUWA HILI JAMVI NI CHUO TOSHA. SASA MBONA MNAFANYA KAMA KIJIWE FULANI HIVI?aisee
HIVI HUWA HAMNA CHA MAANA CHA KUZUNGUMZA? JPM AMESOMA UDSM RECORDS ZIPO WATU WALIOSOMA NAYE WAPO NA WENYE KUCHAMBUA HUMU NDANI WALIWAHI KULETA PICHA ZAKE AKIWA MWALIMU WA SHULE SASA HUO UFEKI NI UPI??? JAMANI HILI JAMVI MBONA MNALIDHALILISHA NAMNA HII? SI MWENDE KWENYE FACEBOOK NA MITANDAO YA KIPUUZI AMBAYO SIKU HIZI IMEJAA. SIKU ZOTE NIMEKUWA NIKIAMINI KUWA HILI JAMVI NI CHUO TOSHA. SASA MBONA MNAFANYA KAMA KIJIWE FULANI HIVI?
Kwa nini usikate mzizi wa fitina na kwenda kutafiti UDSM na baada ya hapo uwe na haki ya kusema utakalo?Kwanza kabisa unaandika kwa herufi kubwa tupu kwa hiyo nina mashaka na umakini wako.
Pili, kusoma UDSM na watu wakakuona si hakikisho kwamba mtu kafanya kazi aliyotakiwa kufanya kupata vyeti. Magufuli Ph.D yake kaifanya akiwa Waziri wa Wizara nyeti, akisafiri sana na kufanya mikutano mingi, akipitia tenda na kukagua mengi etc, akishiriki vikao vya baraza la mawaziri etc. wakati huo huo akiwa mbunge anayewakilisha wananchi etc. Alipata wapi muda wa kusoma Ph.D ya Chemistry?
Tatu, mtu aliyesoma kweli mpaka kupata Ph.D hatakiwi kuwa na kauli mbovu na za kijinga kama za Magufuli. Na kama Magufuli ndiye kipimo cha ubora wa Ph.D za UDSM basi hazina maana chuo kifungwe tu.
Kwa sababu, kwa kuangalia mfani mmoja tu wa wiki hii, mtu mwenye Ph.D anatakiwa kujua kwamba hatakiwi kuwashutumu mawaziri aliowateua yeye mwenyewe kuwa ni wapumbavu. Kwa sababu kusema hivyo ni kujiita yeye mwenyewe aliyewateua ni mpumbavu.
Hiyo si kauli ya mtu mwenye weledi wa Ph.D. Hiyo ni kauli ya babu jinga.
Sent from my Kimulimuli
Ungejua research ni nini usingenitaka niende UDSM ku research validity ya academic credentials za rais wa Tanzania.Kwa nini usikate mzizi wa fitina na kwenda kutafiti UDSM na baada ya hapo uwe na haki ya kusema utakalo?
Hivi mazungumzo ya namna hii ,bila ya kufanya utafiti wa kina ni sawa kuwasilisha kwenye jamvi hili adhimu?
'WITHOUT A THOROUGH RESEARCH YOU HAVE NO RIGHT TO SPEAK SIR'
YOU ARE NOTHING BUT A CYNIC. Kama tatizo lako ni PHD basi tuseme hana ili kuwaridhisha lakini bado haimuondolei heshima yake. Mbona hamuuliza Doctorate ya JK?????????? CHUKI HUTIA HARARA YA MOYO NA MWISHO WAKE UTAKUFA NA PRESSURE NA DEPRESSION BUREUngejua research ni nini usingenitaka niende UDSM ku research validity ya academic credentials za rais wa Tanzania.
UDSM ni chombo cha serikali ya Tanzania ambacho hata bajeti ya kukiendesha inapata kwa ridhaa ya serikali ya Magufuli.
In fact, traditionally rais ndiye amekuwa Mkuu wa Chuo kwa miaka mingi sana hapo. Mpaka leo Kikwete ni Mkuu wa Chuo UDSM nafikiri.
Halafu unataka niende kwao kuhakiki usomi wa rais Magufuli?
Mpaka hapo tu ushanionyesha kwa nini unaweza kukubali mambo ambayo yanaonekana wazi kabisa kuwa uongo.
Ukweli ni kwamba, kama usomi wa Ph.D -suppose amepata Ph.D halali for a minute, just for immanent critique- ndio unamfanya mtu awe na kauli mbovu na mipango duni kama Magufuli, basi huo usomi hauisaidii jamii.
Magufuli kasema ovyo na kuwa obsessed kuingilia biashara mpaka uchumi unaanguka.Benki kuu imeshusha riba kutoka 16% mpaka 9% kwa kujaribu kuokoa jahazi. Sijui kama unaelewa maana ya Benki Kuu kushusha riba hivyo, sijui kama unaelewa kiuchumi kushusha riba hivyo maana yake ni nini.
Msomi anatakiwa awe angalau anajua umuhumu wa kauli.
Sio mtu anawaita mawaziri aliowateua yeye mwenyewe wapumbavu, bila ya kujua kwamba hapi na yeye mwenyewe aliyewateua kajiita mpumbavu.
Hiyo ndiyo Ph.D mnayotambia?
Hapo kuna haja ya research gani kujua huyu mtu si tu si msomi, bali ana matatizo ya kuweza kuwa na staha ndogo tu za kawaida za bosi yeyote yule anayetaka kufanya kazi vizuri na wasaidizi wake?
Kwa kifupi ana ulimbukeni ambao wahenga waliuita wa "masikini akipata, matako hulia mbwata"
Sent from my Kimulimuli
Mgufuli haondolewi heshima kwa kukosa Ph.D.YOU ARE NOTHING BUT A CYNIC. Kama tatizo lako ni PHD basi tuseme hana ili kuwaridhisha lakini bado haimuondolei heshima yake. Mbona hamuuliza Doctorate ya JK?????????? CHUKI HUTIA HARARA YA MOYO NA MWISHO WAKE UTAKUFA NA PRESSURE NA DEPRESSION BURE
Mkuu nafikiri elimu yako ni ndogo sana au ulihudhuria darasani au chuo lakini elimu hukupata kwa taarifa yako PHD siyo lazima uwe darasani just come up with issue itaonekana ina maslahi na dunia hii kwenye field yako. Think before you comnent mkuu!!Kwanza kabisa unaandika kwa herufi kubwa tupu kwa hiyo nina mashaka na umakini wako.
Pili, kusoma UDSM na watu wakakuona si hakikisho kwamba mtu kafanya kazi aliyotakiwa kufanya kupata vyeti. Magufuli Ph.D yake kaifanya akiwa Waziri wa Wizara nyeti, akisafiri sana na kufanya mikutano mingi, akipitia tenda na kukagua mengi etc, akishiriki vikao vya baraza la mawaziri etc. wakati huo huo akiwa mbunge anayewakilisha wananchi etc. Alipata wapi muda wa kusoma Ph.D ya Chemistry?
Tatu, mtu aliyesoma kweli mpaka kupata Ph.D hatakiwi kuwa na kauli mbovu na za kijinga kama za Magufuli. Na kama Magufuli ndiye kipimo cha ubora wa Ph.D za UDSM basi hazina maana chuo kifungwe tu.
Kwa sababu, kwa kuangalia mfano mmoja tu wa wiki hii, mtu mwenye Ph.D anatakiwa kujua kwamba hatakiwi kuwashutumu mawaziri aliowateua yeye mwenyewe kuwa ni wapumbavu. Kwa sababu kusema hivyo ni kujiita yeye mwenyewe aliyewateua ni mpumbavu.
Hiyo si kauli ya mtu mwenye weledi wa Ph.D. Hiyo ni kauli ya babu jinga.
Sent from my Kimulimuli
Mkuu nafikiri elimu yako ni ndogo sana au ulihudhuria darasani au chuo lakini elimu hukupata kwa taarifa yako PHD siyo lazima uwe darasani just come up with issue itaonekana ina maslahi na dunia hii kwenye field yako. Think before you comnent mkuu!!
Na wewe ni very soon!@Elimu ndogo unayo wewe unayekubali mtu aliyeelimika kiwango cha Ph.D genuinely anaweza kuwaita mawaziri aliowateua yeye mwenyewe wapumbavu openly.
Huyu si tu hana elimu, huyu hana hata ustaarabu wa msingi kabisa wa kujua kwamba ukimuita mtu uliyemteua wewe mwenyewe mpumbavu, umejiita wewe mwenyewe mpumbavu.
Sasa unataka kuniambia huyo ndiye msomi wa Ph.D ?
Suala si ulazima wa kukaa darasani, suala ni work required.
Nina kaka yangu kafanya hiyo hiyo Ph.D ya Chemistry. Alikuwa kipanga. Nimemuona alivyohangaika.
Muhangaiko ule si wa kusoma huku ukiwa Waziri wa Ujenzi, mbunge prima donna ambaye kila siku unarukaruka mabarabarani.
Pia, hiyo Ph.D ya kuondoa kutu kwa mafuta ya korosho watu washaibangua na kuona iliandikwa na mtu mwingine kabla, Magufuli kapewa tu.Ph.D mtu anatakiwa kuja na paper yenye original contribution.
Tushajadili hapa. Thread imefutwa. Kwa sasa hata hii thread ikifutwa siwezi kushangaa kwa jinsi watu wanavyomuogopa Magufuli.
Tanzania watu wanaogopa kusema wasiishie kama Ben Saanane.
Pamoja na maelezo yako marefu bado nina wasiwasi na elimu yako!Elimu ndogo unayo wewe unayekubali mtu aliyeelimika kiwango cha Ph.D genuinely anaweza kuwaita mawaziri aliowateua yeye mwenyewe wapumbavu openly.
Huyu si tu hana elimu, huyu hana hata ustaarabu wa msingi kabisa wa kujua kwamba ukimuita mtu uliyemteua wewe mwenyewe mpumbavu, umejiita wewe mwenyewe mpumbavu.
Sasa unataka kuniambia huyo ndiye msomi wa Ph.D ?
Suala si ulazima wa kukaa darasani, suala ni work required.
Nina kaka yangu kafanya hiyo hiyo Ph.D ya Chemistry. Alikuwa kipanga. Nimemuona alivyohangaika.
Muhangaiko ule si wa kusoma huku ukiwa Waziri wa Ujenzi, mbunge prima donna ambaye kila siku unarukaruka mabarabarani.
Pia, hiyo Ph.D ya kuondoa kutu kwa mafuta ya korosho watu washaibangua na kuona iliandikwa na mtu mwingine kabla, Magufuli kapewa tu.Ph.D mtu anatakiwa kuja na paper yenye original contribution.
Tushajadili hapa. Thread imefutwa. Kwa sasa hata hii thread ikifutwa siwezi kushangaa kwa jinsi watu wanavyomuogopa Magufuli.
Tanzania watu wanaogopa kusema wasiishie kama Ben Saanane.
Acha utotoKwanza kabisa unaandika kwa herufi kubwa tupu kwa hiyo nina mashaka na umakini wako.
Pili, kusoma UDSM na watu wakakuona si hakikisho kwamba mtu kafanya kazi aliyotakiwa kufanya kupata vyeti. Magufuli Ph.D yake kaifanya akiwa Waziri wa Wizara nyeti, akisafiri sana na kufanya mikutano mingi, akipitia tenda na kukagua mengi etc, akishiriki vikao vya baraza la mawaziri etc. wakati huo huo akiwa mbunge anayewakilisha wananchi etc. Alipata wapi muda wa kusoma Ph.D ya Chemistry?
Tatu, mtu aliyesoma kweli mpaka kupata Ph.D hatakiwi kuwa na kauli mbovu na za kijinga kama za Magufuli. Na kama Magufuli ndiye kipimo cha ubora wa Ph.D za UDSM basi hazina maana chuo kifungwe tu.
Kwa sababu, kwa kuangalia mfano mmoja tu wa wiki hii, mtu mwenye Ph.D anatakiwa kujua kwamba hatakiwi kuwashutumu mawaziri aliowateua yeye mwenyewe kuwa ni wapumbavu. Kwa sababu kusema hivyo ni kujiita yeye mwenyewe aliyewateua ni mpumbavu.
Hiyo si kauli ya mtu mwenye weledi wa Ph.D. Hiyo ni kauli ya babu jinga.
Sent from my Kimulimuli
Umeskia redio gan mkuu nami niskize?Nasikia mh.Rais alishawah kudisco alipokua chuoni udsm, mwaka wa pili,
Sent using Jamii Forums mobile app