Thinking outside the box: Itakuaje siku vyeti vya Magufuli vikagundulika ni feki?

Na wewe ni very soon!@
Very soon is not soon enough.

Even Jesus said he will be back very soon and it has been more than 2,000 years he has left people Solemba.

Sent from my Kimulimuli
 
Pamoja na maelezo yako marefu bado nina wasiwasi na elimu yako!
Kwanza jiridhishe kuondoa wasiwasi halafu tutajadili.

Sitaki kujadiliana na watu wenye wasiwasi, maana hata wao wenyewe hawajui wanasimamia wapi.

Sent from my Kimulimuli
 
Acha utoto
Akili ya kudharau utoto nayo ni m9ja ya mambo yanayotufanya tuwe masikini.

Watoto wakithaminiwa wana m hango wa hoja nzuri sana.

Ila wewe unatoka katika jamii inayonyanyapaa watkto na kuwaona hawana maana ndiyo maana unaandika "acha utoto".

Ni ukosefu wa elimu tu.

Hata vitabu vitakatifu vimeandika waacheni watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.

Wewe mpaka leo umebaki kwenye kunyanyapaa watoto.

Sent from my Kimulimuli
 
Acha utoto
Akili ya kudharau utoto nayo ni m9ja ya mambo yanayotufanya tuwe masikini.

Watoto wakithaminiwa wana m hango wa hoja nzuri sana.

Ila wewe unatoka katika jamii inayonyanyapaa watkto na kuwaona hawana maana ndiyo maana unaandika "acha utoto".

Ni ukosefu wa elimu tu.

Hata vitabu vitakatifu vimeandika waacheni watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.

Wewe mpaka leo umebaki kwenye kunyanyapaa watoto.

Wakati hata hoja zilizotolewa hujajibu.

Sent from my Kimulimuli
 
Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
Wewe nafikiri hujui enzi ile ya watanzania wakisimama foleni kwenye maduka ya ugawaji kusubiri portion ya unga wa sembe au sukari.

Nimeiingiza hii mada kwa sababu naona baadhi ya awatanzania wananisikitisha kwa kuwa na mawazo mabaya dhidi ya Rais wetu Magufuli. Mnawaza kutegemea nini mpaka mnaandika vitu kama hivi kuhusu vyeti fake vya Rais. Naomna niwaulize, je hamna kazi za kufanya?

Watanzania kama tutaendelea na kuwa na mawazo haya ya kipuuzi badala ya kuwaza vitu amabvyo vitatuletea maendeleo, tukishindwa kufanikiwa kipindi hiki cha Rais Magufuli, iko siku wengu tuta mlilia wakati atakuwa hayuko.

Wengine wanamwona yeye kama vile ni Dictator na kujaribu kumwimbia nyimbo za kumkebei. [emoji3] [emoji3] [emoji3] mnachekesha shana. Angekuwa Dictator mngepata hata hiyo nafasi ya kuzitoa hizo nyimbo kweli? Angekuwa kweli Dictator akina Tundu Lisu wangepata nafasi ya kumwita yeye "Dictator Uchwara" na kuwa salama?

Nasikia watu wana lalamika eti Bunge halitolewi live au mbashara. Mmmh! Ni kweli bunge haliko hewani live? Mbona YouTube imejaa mijadala na hoja za wabunge bungeni?

Watanzania hatuna shukrani kabisa, jana tulikuwa tuna lia hatuna maji, umeme wa mgao, madawa ya kutosha, miundo mbinu mibovu, ajira hakuna, kila sehemu tuna languliwa na bandarini ndiyo hiyo tena bidha na mali za watu zinapotea, walimu hawalipwi mishahara, ada za shule zinapotea wafanya watoto wengu wasiende shule, wanafunzi wana kalia mawe na kadhalika, hii leo haya matatizo amejitahidi kwa kadri alivo weza kuyatatu, lakini bado haturiziliki na kumshukuru mungu. Tuna mkufuru mungu lakini! Tutajuta.
ata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasiwasi na elimu yako mkuu may be ulikomea darasa la pili tu,you are not great thinkers!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna cha kumfanya mtaishia kusemea vyumbani mwenu...Daudi mbona hana vyeti halisi na bado hamna kilichofanyika.

Binadamu sisi ni kama wanyama tunaongozwa na Alfa.
 
Hizo zote ni hisia na chuki ambazo zinaonekana hata kwenye maandishi yako.
Huko kuropoka unaousema, siyo wote wanamuono huo
 
Hizo zote ni hisia na chuki ambazo zinaonekana hata kwenye maandishi yako.
Huko kuropoka unaousema, siyo wote wanamuono huo
Ni kawaida ya watu wasio na hoja kukimbilia kusema "chuki".

Magufuli, kwa maneno yake mwenyewe, ni mpumbavu.

Kwa sababu katuchagukia mawaziri anaosema ni wapumbavu.

Unakataa kwamba Magufuli hakusema kuna mawaziri wapumbavu?

Unakataa kwamba mtu aliyechagua watu wapumbavu kuwa mawaziri naye ni mpumbavu?

Sent from my Kimulimuli
 
Wale vyeti wanaanza kutengeneza wakipata madaraka ya juu sana magu kawa raisveti ndio wanaanza kumwita dk pro.. Na maneno mengi yakutuaminisha kuwa jote huko alipita. Hana lolote na elimu yake hiyo anaogopa kuongea na wazungu ndio usemage ni msomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Al-Watan nakuona katika ubora wako!!
Umeadimika sana humu

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Kwa kweli wengi wetu bado tunahitaji elimu ya kutosha, huna elimu unahoji mwenye elimu hata kama feki kama unavyoita wewe.
Uvivu wa kusoma utatufikisha pabaya watanzania, inafika mahali idadi kubwq ya watu wanahoji uhalali wa UDSM kumtunuku Magufuli shahada ilihali hata ufahamu wao kuhusu shahada aliyotunikiwa hawaijui!!
Naomba tujaribu kuchambua mambo kwa kina kabla ya kurukia kutoa maelezo potovu, tena kwa taasisi iliyojojengea sifa ndani na nje ya nchi kwa muda mrefu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nafikiri elimu yako ni ndogo sana au ulihudhuria darasani au chuo lakini elimu hukupata kwa taarifa yako PHD siyo lazima uwe darasani just come up with issue itaonekana ina maslahi na dunia hii kwenye field yako. Think before you comnent mkuu!!
KAMA WEWE IQ LEVEL YAKO NDIYO HIYO, BASI NI BORA KUIKUBALI KIWANGO CHA ELIMU ULICHONITUNUKIA.
TATIZO LA VIJANA WENGI HUKUMBWA NA ILE 'HALI YA MAJI KUFUATA MKONDO' NA WAKIAMBIWA KUWA MAJI HUPANDISHWA MLIMA MTABISHANA HADI KUCHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…