Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Very soon is not soon enough.Na wewe ni very soon!@
Even Jesus said he will be back very soon and it has been more than 2,000 years he has left people Solemba.
Sent from my Kimulimuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very soon is not soon enough.Na wewe ni very soon!@
Kwanza jiridhishe kuondoa wasiwasi halafu tutajadili.Pamoja na maelezo yako marefu bado nina wasiwasi na elimu yako!
Akili ya kudharau utoto nayo ni m9ja ya mambo yanayotufanya tuwe masikini.Acha utoto
Akili ya kudharau utoto nayo ni m9ja ya mambo yanayotufanya tuwe masikini.Acha utoto
Wewe nafikiri hujui enzi ile ya watanzania wakisimama foleni kwenye maduka ya ugawaji kusubiri portion ya unga wa sembe au sukari.Hivi itakuaje siku ikagundulika kuwa vyeti vya magufuli ni feki?
Nina wasiwasi na elimu yako mkuu may be ulikomea darasa la pili tu,you are not great thinkers!!!!Wewe nafikiri hujui enzi ile ya watanzania wakisimama foleni kwenye maduka ya ugawaji kusubiri portion ya unga wa sembe au sukari.
Nimeiingiza hii mada kwa sababu naona baadhi ya awatanzania wananisikitisha kwa kuwa na mawazo mabaya dhidi ya Rais wetu Magufuli. Mnawaza kutegemea nini mpaka mnaandika vitu kama hivi kuhusu vyeti fake vya Rais. Naomna niwaulize, je hamna kazi za kufanya?
Watanzania kama tutaendelea na kuwa na mawazo haya ya kipuuzi badala ya kuwaza vitu amabvyo vitatuletea maendeleo, tukishindwa kufanikiwa kipindi hiki cha Rais Magufuli, iko siku wengu tuta mlilia wakati atakuwa hayuko.
Wengine wanamwona yeye kama vile ni Dictator na kujaribu kumwimbia nyimbo za kumkebei. [emoji3] [emoji3] [emoji3] mnachekesha shana. Angekuwa Dictator mngepata hata hiyo nafasi ya kuzitoa hizo nyimbo kweli? Angekuwa kweli Dictator akina Tundu Lisu wangepata nafasi ya kumwita yeye "Dictator Uchwara" na kuwa salama?
Nasikia watu wana lalamika eti Bunge halitolewi live au mbashara. Mmmh! Ni kweli bunge haliko hewani live? Mbona YouTube imejaa mijadala na hoja za wabunge bungeni?
Watanzania hatuna shukrani kabisa, jana tulikuwa tuna lia hatuna maji, umeme wa mgao, madawa ya kutosha, miundo mbinu mibovu, ajira hakuna, kila sehemu tuna languliwa na bandarini ndiyo hiyo tena bidha na mali za watu zinapotea, walimu hawalipwi mishahara, ada za shule zinapotea wafanya watoto wengu wasiende shule, wanafunzi wana kalia mawe na kadhalika, hii leo haya matatizo amejitahidi kwa kadri alivo weza kuyatatu, lakini bado haturiziliki na kumshukuru mungu. Tuna mkufuru mungu lakini! Tutajuta.
ata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo zote ni hisia na chuki ambazo zinaonekana hata kwenye maandishi yako.Mgufuli haondolewi heshima kwa kukosa Ph.D.
In fact, katika nchi zilizoendelea, unless unataka kufanya research au kufundisha, kutafuta Ph.D ukiwa Waziri wa Serikali ni ushamba. Ni ulimbukeni. Ndicho alichokifanya Magufuli.
Magufuli alitafuta Ph.D kwa kisasi.Baada ya kutambiwa na mfanyakazi mwenzake wa serikali kwamba "wewe huna Ph.D", akaenda na yeye kutafuta Ph.D amuonyeshe mtu "ulisema sina Ph.D, hii hapa" kama mtoto mdogo aliyeringishiwa kigari cha toy akalilia mpaka na yeye awe nacho.
Narudia.Magufuli haondolewi heshima kwa kukosa Ph.D.
Nyerere hakuwa an Ph.D (ya kusomea, ukiacha honorary). Ukikisoma kitabu cha Dr. Thomas Molony wa Edinburgh University, ana question hata hiyo degree ambayo Nyerere aliipata Edinburgh kama ni Masters.
Lakini Nyerere anaheshimika kama a giant of African politics.
Huhitaji kusoma Ph.D ili kuheshimika. Ndiyo maana hata wafagizi wenye elimu ya darasa la saba wanaheshimiwa kwa utu wao.
Kwa hiyo kinachomuondolea heshima Magufuli si kukosa Ph.D.
Kinachomuondolea heshima Magufuli ni tabia yake mbaya ya kusema ovyo na kufanya mambo kwa pupa.
Hilo litamuondolea heshima mtu yeyote, awe ana elimu ya darasa la saba au Ph.D.
Lakini kwa Magufuli, kwa sababu anajinadi kama mtu mwenye Ph.D, tutaisema Ph.D yake kwamba ni feki kwa sababu haiendani na jinsi anavyoropoka ovyo na kufanya mambo kwa pupa.
Imeandikwa kwa kazi zao mtawajua. Sio kwa vyeti vyao.
Ni kawaida ya watu wasio na hoja kukimbilia kusema "chuki".Hizo zote ni hisia na chuki ambazo zinaonekana hata kwenye maandishi yako.
Huko kuropoka unaousema, siyo wote wanamuono huo
Mkuu Al-Watan nakuona katika ubora wako!!Ni kawaida ya watu wasio na hoja kukimbilia kusema "chuki".
Magufuli, kwa maneno yake mwenyewe, ni mpumbavu.
Kwa sababu katuchagukia mawaziri anaosema ni wapumbavu.
Unakataa kwamba Magufuli hakusema kuna mawaziri wapumbavu?
Unakataa kwamba mtu aliyechagua watu wapumbavu kuwa mawaziri naye ni mpumbavu?
Sent from my Kimulimuli
Ni suala la muda tu, aliyempa Magu PHD ni profesa Buchweishaija, sasa hivi naye kapewa kazi na Magu TIB kuwa kwenye bodi ya wakurugenzi
Kwa kweli wengi wetu bado tunahitaji elimu ya kutosha, huna elimu unahoji mwenye elimu hata kama feki kama unavyoita wewe.Kwanza kabisa unaandika kwa herufi kubwa tupu kwa hiyo nina mashaka na umakini wako.
Pili, kusoma UDSM na watu wakakuona si hakikisho kwamba mtu kafanya kazi aliyotakiwa kufanya kupata vyeti. Magufuli Ph.D yake kaifanya akiwa Waziri wa Wizara nyeti, akisafiri sana na kufanya mikutano mingi, akipitia tenda na kukagua mengi etc, akishiriki vikao vya baraza la mawaziri etc. wakati huo huo akiwa mbunge anayewakilisha wananchi etc. Alipata wapi muda wa kusoma Ph.D ya Chemistry?
Tatu, mtu aliyesoma kweli mpaka kupata Ph.D hatakiwi kuwa na kauli mbovu na za kijinga kama za Magufuli. Na kama Magufuli ndiye kipimo cha ubora wa Ph.D za UDSM basi hazina maana chuo kifungwe tu.
Kwa sababu, kwa kuangalia mfano mmoja tu wa wiki hii, mtu mwenye Ph.D anatakiwa kujua kwamba hatakiwi kuwashutumu mawaziri aliowateua yeye mwenyewe kuwa ni wapumbavu. Kwa sababu kusema hivyo ni kujiita yeye mwenyewe aliyewateua ni mpumbavu.
Hiyo si kauli ya mtu mwenye weledi wa Ph.D. Hiyo ni kauli ya babu jinga.
Sent from my Kimulimuli
KAMA WEWE IQ LEVEL YAKO NDIYO HIYO, BASI NI BORA KUIKUBALI KIWANGO CHA ELIMU ULICHONITUNUKIA.Mkuu nafikiri elimu yako ni ndogo sana au ulihudhuria darasani au chuo lakini elimu hukupata kwa taarifa yako PHD siyo lazima uwe darasani just come up with issue itaonekana ina maslahi na dunia hii kwenye field yako. Think before you comnent mkuu!!