Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Uchaguzi 2020 This is Bishop Gwajima in his true colours

Hakuna Bishop hapo ! Kwanza Mdahalo ulikua muhimu yule mzee Kamuuliza maswali kuhusu sukari kipara kikatiririsha jasho la kutosha!
 
duh amwachie tuu???mkuu huyu hayupo fit yani mzee mchovu kama huyo anamtoa jasho kwenye meno kweri akiingia mjengoni atatusaidia wana kawe kweri??? Mimi Gwajima kuniachia dakika mbiri tuu kwa hoja anaweza kuzimia.....Swali moja tuu kwa mzee kofia hapohapo ina rotate ......ngoja...ngoja...ngoja...ngoja...ngoja...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mhubiri hajazoe maswali
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mhubiri hajazoe maswali
Sasa hapo shida kwanza kanisani hakuna demokrasia kila kitu ndi ndiyoooooo na kugonga meza kama wabunge wakijani amekuja uraini amepata challenge hatari mno.
 
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
This is delayed truth.......

We would have known anything from Gwajima Five years back

Mbona wakati yupo kwenye majukwaa ya pipooooooooz mliufyata kimya hamkutaka hata kuskiliza skandali zake alizokua anatupiwa

Politikis everi hwea.....
 
Kuna nyakati na watu ...by that time hakuongea haya anayoongea sasa
 
Kuna nyakati na watu ...by that time hakuongea haya anayoongea sasa
Kila binadamu ana mapungufu yake

Ana mazuri na mabaya yake

Ni vema kwenye kipindi hiki kigumu esp kuelekea uchaguzi tuzungumzie mazuri yake, hasa yale aliyokua anayaongea majukwaani 2015 hukuumati ukimshangilia

Kinyume na hapo ni kwamba kuna uchungu flani watu flani wameupata baada ya mwamba huyu kuondoka ufipa
 
Mhh ni maumivu gani hayo? Wameondoka wangapi? Tena high profile figures?
 
Tukisema hapa kila mwenye ID JF ajiweke wazi kuna uwezekano wengine hapa tukawa na 'Mapungufu' kuliko ya Gwajima na hata Shetani hayajui.
Mimi sizungumzii mapungufu ya kibinadamu ya Gwajima. Kila mtu ana mapungufu yake; hili liko wazi.

Ninachozungumzia ni kuhusu kuhusu kauli zake kinzani kuhusu maendeleo ya Jimbo la kawe kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Mfano ni alipo pongeza kero ya maji kutatuliwa maeneo mengi ya Kawe, baadaye kidogo akasema maeneo mengi chini ya mbunge Mdee yana kero kubwa ya maji. Huyu ni mtu ambaye yuko sawa kichwani?!
 
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.

Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.

GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina Mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.

Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
Dah Gwajinga bwana
 
Mimi sizungumzii mapungufu ya kibinadamu ya Gwajima. Kila mtu ana mapungufu yake; hili liko wazi.

Ninachozungumzia ni kuhusu kuhusu kauli zake kinzani kuhusu maendeleo ya Jimbo la kawe kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Mfano ni alipo pongeza kero ya maji kutatuliwa maeneo mengi ya Kawe, baadaye kidogo akasema maeneo mengi chini ya mbunge Mdee yana kero kubwa ya maji. Huyu ni mtu ambaye yuko sawa kichwani?!
Naona unanichosha tu Mkuu. Hebu niache Kwanza tafadhali kwani nawawazia 'Wabongo' wenzangu wanaopata Shida na Al Shabaab huko Mtwara.
 
Hivi imekuwaje mchungaji huyu niliyekuwa namheshimu kwa mafundisho yake ya Neno la Mungu kageuka ghafla na kujiunga na kambi ya shetani kushambulia watu wa Mungu?

Inakuwaje mchungaji Gwajima anaamua kutenda dhambi ya uongo na unafiki waziwazi kwa jina la siasa za kutaka ubunge tu?

Itawezekanaje maji kwenye baadhi ya maeneo ya jimbo lilelile alete huyo anayemwita "mheshimiwa Rais" na maeneo ya jimbo lilelile yasiyo na maji liwe ni tatizo la Mh. Mbunge Halima Mdee?

Anajua asemacho kweli huyu mchungaji ama ameshapigwa upofu ktk fikra zake za kiroho na aliyeamua kumtumikia - shetani?

I am very disappointed with Mr Gwajima..!
 
Gwajiboy ni mtu hatari sana, nilposkia anagombea nilimdharau sana kwasababu nina kumbukumbu ya maneno yake nikajua huyu ni mchumia tumbo tu.
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Huyu bwana alishawahi kutuambia watanzania kwamba yeye hata kugombea nafasi ya uraisi hawezi maana akifanya hivyo kwa nafasi yake aliyonayo huo uraisi wenyewe ni demotion/kujishusha
Huyu bwana anajichanganya sana
 
Nitampima 'Mbunge' wangu mtarajiwa Gwajima baada ya miaka yake Mitano na kuhusu 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu hata Sisi pia tunayo sana.
Ha ha ha ha ha haaaaaa ... ni pale unapojaribu sumu kama inaua

Ila sishangai kwa jinsi Lumumba mlivyo vilaza mnaweza kujaribu sumu kama inauwa

Maana hata kujiongoza wenyewe hamuwezi inabidi mnunue viongozi kutoka upinzani ili wawaongoze

Sasa mmejaribu kuzalisha kiongozi miongoni mwenu Bw. Mchungaji Gwaji Boy na huo ndio utumbo wake hajielewi hata anaongea nini ili iwe nini
 
Back
Top Bottom