Unapikiwa na huyo jamaa wewe ukiwa umekaa tu mkuu au?
Maana kwa mfumo dume, mmeo kukupikia lazima kuwe na tatizo, aidha la kwako wewe au la kwake yeye.
Usiwafanye wakaanza kuingia jikoni na kuharibu mambo maana zilianza six pack watu wakakimbilia gym vitambi wata wakafuga Mara kidogo wanakojoa wakaja na vumbi Mara manukato wakawa wanajipulizia manukato mpaka kwenye nywele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walevi tupo vile vile tunawaacha mabaharia waangaike wazamishe sie tuokoe
Ngoja niende kupika mimi saivWakipika na vivest ama kifua wazi na shorts ndo wananoga.
Tena wawe na vibody vyao.
Sio wawe malnourished vimbavu nje afu wanajifanya kukarangiza
Kasie platinum uko na vidole vizuri vya kunyonya...
Hahhaaaa mwanaume akipika na vest na short ni kama vile
Unavyomuona mkeo anadeki na kipande cha mtandio wa dera
Kwa mfano mwanaume anapika mkewe anafanya nini? Anaangalia tamthilia? Bachelors kama sisi ndio ukija siku ya kwanza, narudia siku ya kwanza nitapika msosi wangu wewe utakaribishwa kula(sikupikii) ukija mara ya pili utapika tu.So horny and lovely.... Basi tuu baadhi ya wanaume hawajui wanaishia kusema sifanyi ujinga huu ili wasionekane wamekaliwa, wakati ikifika usiku kitandani wanakuwa wapoleeee aahahahhahahabaaaaa
mkuu mbona tunasemana hivi?Wakipika na vivest ama kifua wazi na shorts ndo wananoga.
Tena wawe na vibody vyao.
Sio wawe malnourished vimbavu nje afu wanajifanya kukarangiza
So horny and lovely.... Basi tuu baadhi ya wanaume hawajui wanaishia kusema sifanyi ujinga huu ili wasionekane wamekaliwa, wakati ikifika usiku kitandani wanakuwa wapoleeee aahahahhahahabaaaaa
Msije Fanya vijana wa dar wakaanza kuwa wakina kaka lishe na sasa wana vibukta vyao sijui viboksa au lah maana vinavaliwa kweli ndio nyie mmesababisha wavae hivyo vibuktHahhaaaa mwanaume akipika na vest na short ni kama vile
Unavyomuona mkeo anadeki na kipande cha mtandio wa dera
Msije Fanya vijana wa dar wakaanza kuwa wakina kaka lishe na sasa wana vibukta vyao sijui viboksa au lah maana vinavaliwa kweli ndio nyie mmesababisha wavae hivyo vibukt
Kuna hivi vinahasili ya nylon vifupi kama vya beach vinaishia mapajani vinavaliwa sana town yaani majuzi kuna mshkaji wangu ikabidi nimuulize mzee vipi mbona hivyo napewa fashion mademu wanazimika kweli na vibukta anaonekana sex mnadhambi sana nyie kutesa watoto wa wanawake wezenuVile vinavyokusanya mzigo pale mbele?
Kuna hivi vinahasili ya nylon vifupi kama vya beach vinaishia mapajani vinavaliwa sana town yaani majuzi kuna mshkaji wangu ikabidi nimuulize mzee vipi mbona hivyo napewa fashion mademu wanazimika kweli na vibukta anaonekana sex mnadhambi sana nyie kutesa watoto wa wanawake wezenu
Vile univalishi ukikaaa vibaya zigo lote nje na ukisimamisha ndio mtihani ambao lazima ufail tuHahahaaa wanakwenda na upepo wa fashion