Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #81
Aahahahahahaa hapana, hii ni hulka bila kujali anaishi wapi japo mazingira nayo yana athari zake...That is possible for the woman at least knows what's meaning of love those who living in buza, kwa mtogole ,mwananyamala and like it's illusion😂😂😂😂😂😂
Mfano mie nimekulia mbagala maji matitu na kizuiani, na hapa niko mbagala rangi tatu. Ila hulka yangu haijaathiriwa na mazingira, nimejikuta tuu nimezaliwa na hii hulka kama ya kutabasamu..... ever smiling platinum K.