ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Nishafika nakusubiria...
Mbona nimekuamkia huitikii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishafika nakusubiria...
Cc SakayoMkuu Kuna kitu Sky kakiona Kwa Babu Asprin tena Mabinti wengi wanatamani na wanammendea wampate Coz mababu wanajua Kujali,pia huwa Wanachelewa kufika Mlimani,sifa hiyo imewafanya Wadada kama Sakayo,numbisa,Inna,Mzigua 90,Valentine na Wwngine Kumtamani babu "awalee"
Unaleta utani kanisani?Mbona nimekuamkia huitikii
Ewaa sasa utulie na huyo mtoto wa kizigua. Akikuletea ubishi kuna kajukuu kengine nitakupa kama back up
Same there mchepuko wangu original...Aiseee
Babu ni mchepuko wangu!!
Happy Valentine's day my only mchepuko Asprin.. Nakupenda ila Sky anakupenda zaidi!!!
Hahahaha... aisee nimecheka mpaka nimepaliwa na hii balimiYani we jamaa umekuwa sukari ya binti zetu, sijui nioge maji ya wapi niwe kama wewe mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji25] [emoji125] [emoji25] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ili awe na human face?
Kwakuwa anajiaminiSasa si ungemfuata huko huko kwake umwambie sasa unaanika huku ili iweje ...ili tujue mnapendana kimtandao
Dah... kumbe wewe sio mwanachama wangu...Ah! sasa babu naona unataka kuziba shimo kwa kipande cha mkate. Mie michepuko mwiko kabisa kwangu...najua unataka nikuige ila hapo ntakuangusha. Nashukuru sana tumeshayaweka sana na Mama Yeyoo.
Dah... kumbe wewe sio mwanachama wangu...
We babu usiniharibie mume michepuko yako baki nayo mwenyeweAh! sasa babu naona unataka kuziba shimo kwa kipande cha mkate. Mie michepuko mwiko kabisa kwangu...najua unataka nikuige ila hapo ntakuangusha. Nashukuru sana tumeshayaweka sana na Mama Yeyoo.
Dah... kumbe wewe sio mwanachama wangu...
Mimi mshabiki tu lakini kadi sina...
We babu usiniharibie mume michepuko yako baki nayo mwenyewe
Afu baadaye unifuate tena PM unambie ulikuwa unanitania....Mkemee kabisa pepo amtoke ila usimsogelee karibu
Hakuna mwanaume anayeweza kuridhishwa na mwanamke mmojaWe babu usiniharibie mume michepuko yako baki nayo mwenyewe
Afu baadaye unifuate tena PM unambie ulikuwa unanitania....
Sasa si ungemfuata huko huko kwake umwambie sasa unaanika huku ili iweje ...ili tujue mnapendana kimtandao
Ngoja na mi nibadili id nijiite parasetamu sasa!