yule mshkaji kaimba nae kwenye bongo la biashara nae namkubali sanaJua kali anangoma flan hv ya ngeli ya genge....yupo chalii mmoja aitwa major,ile ngoma ya landlord[emoji28][emoji28]looh hua nacheka kile kiswahili chake Ila ilikua bonge la idea,yote tisa kumi ngoma ya sinzia ya nameless naipenda hadi kesho
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hata Mimi nashangaaHuo wimbo wa Sanaipei mkali ila nashangaa kwa nini una views chache. Msanii akiungwa mkono nyumbani ndio anaweza kutoboa kimataifa, hamna muujiza sisi tukajua nyimbo zenu wakati hamzipi promo za kutosha.
Ojey kaka yangu hamna kitu hapo ,mbona huelewi
Views ya YouTube hai matter in any way...views inaweza kununuliwa....hapa Kenya msanii kama Timmy Tdat anaearn mob sana kwa mashow,promotions etcHuo wimbo wa Sanaipei mkali ila nashangaa kwa nini una views chache. Msanii akiungwa mkono nyumbani ndio anaweza kutoboa kimataifa, hamna muujiza sisi tukajua nyimbo zenu wakati hamzipi promo za kutosha.
Hii nyimbo naikubali sanaNyashinksi
Mungu Pekee
Hii nyimbo naikubali sana
Yes...my man ...omogusii ominto...hehe ulikuwa unadhani ya Nani?
Nyashinksi
Mungu Pekee
Huu wimbo hata mimi naupenda sana, so inspirational,Nyashinski? This song kumbe huwanga ya Nyashinski?
Umeongea kweli tupu mkuu, support huanzia nyumbani, ndo maana wanigeria wanatoboa kwa sababu wanapata support ya kutosha kwao!Huo wimbo wa Sanaipei mkali ila nashangaa kwa nini una views chache. Msanii akiungwa mkono nyumbani ndio anaweza kutoboa kimataifa, hamna muujiza sisi tukajua nyimbo zenu wakati hamzipi promo za kutosha.
acha aje awafariji wakenya,tunajua wengi wenyu kipindi hiki mnasumbuliwa na uhaba wa chakula....ni utani tu msinikasirikie tafadhali.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Diamond anakuja Kenya Koroga Festivals pamoja na Kidum. I prefer they could have brought Ali Kiba
Alaf hii ngoma kuna scenes kapigia Arusha lake Duluti. Naikubali sana hii ngoma in short Nyash tangia arudi with Now You Knew, Mungu Pekee, Malaika, Aminia huyu jmaaa ni moto ni vile wakenye msiwaangushe wasanii wenu pendeni kazi zenu sio mambo yakuleta kina Chris Brown nakuwalipa pesa kibaoo.Nyashinski
Malaika
acha aje awafariji wakenya,tunajua wengi wenyu kipindi hiki mnasumbuliwa na uhaba wa chakula....ni utani tu msinikasirikie tafadhali.[emoji23] [emoji23] [emoji23]