This is The best of Kenya

This is The best of Kenya

Jua kali anangoma flan hv ya ngeli ya genge....yupo chalii mmoja aitwa major,ile ngoma ya landlord[emoji28][emoji28]looh hua nacheka kile kiswahili chake Ila ilikua bonge la idea,yote tisa kumi ngoma ya sinzia ya nameless naipenda hadi kesho

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
yule mshkaji kaimba nae kwenye bongo la biashara nae namkubali sana
sichoki kusikiza "ngoma yako ya nonini
 
Huo wimbo wa Sanaipei mkali ila nashangaa kwa nini una views chache. Msanii akiungwa mkono nyumbani ndio anaweza kutoboa kimataifa, hamna muujiza sisi tukajua nyimbo zenu wakati hamzipi promo za kutosha.
Views ya YouTube hai matter in any way...views inaweza kununuliwa....hapa Kenya msanii kama Timmy Tdat anaearn mob sana kwa mashow,promotions etc
 
Huo wimbo wa Sanaipei mkali ila nashangaa kwa nini una views chache. Msanii akiungwa mkono nyumbani ndio anaweza kutoboa kimataifa, hamna muujiza sisi tukajua nyimbo zenu wakati hamzipi promo za kutosha.
Umeongea kweli tupu mkuu, support huanzia nyumbani, ndo maana wanigeria wanatoboa kwa sababu wanapata support ya kutosha kwao!
 
Hahaha wacha nicheke mie!!
Mimi ukimaliza uniambie nianze kukupa za uso
tena naruka majuu nawauliza waseme wao Kenya music vs Tanzanian music
majibu nitakuletea hapa
 
Huu Uzi unanibamba sana! Nampenda Sagini, Nampenda Mayonde, Nampenda Kiu nk, Hawa wa siku hizi wamegudua Wakenya hutupendi ngoma papara, wanaleta muziki umetulia sana, napenda!!
 
Diamond anakuja Kenya Koroga Festivals pamoja na Kidum. I prefer they could have brought Ali Kiba
acha aje awafariji wakenya,tunajua wengi wenyu kipindi hiki mnasumbuliwa na uhaba wa chakula....ni utani tu msinikasirikie tafadhali.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyashinski
Malaika


Alaf hii ngoma kuna scenes kapigia Arusha lake Duluti. Naikubali sana hii ngoma in short Nyash tangia arudi with Now You Knew, Mungu Pekee, Malaika, Aminia huyu jmaaa ni moto ni vile wakenye msiwaangushe wasanii wenu pendeni kazi zenu sio mambo yakuleta kina Chris Brown nakuwalipa pesa kibaoo.
 
acha aje awafariji wakenya,tunajua wengi wenyu kipindi hiki mnasumbuliwa na uhaba wa chakula....ni utani tu msinikasirikie tafadhali.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijui hii kasumba yenu kwamba Kenya kuna njaa ni nani aliwatia!! Kenyans are survivors, Come to Kenya and you will not understand if it is the same country you guys keep talking about, In fact people are living large in Kenya than in TZ.

Hii kitu ya kiangazi iliwafariji sana mkadhania sasa Kenya ipo ligi yenu ya Least Developed, but i can tell you man, mhhh, you are very wrong, you guys will always remain LDC as Kenya moves up as a developing world!! 12 Years to 2030 and so far 60% of enabling works for Vision 2030 is done!! Mtashangaa sana
 
Back
Top Bottom