This is the level of dedication we expect from you!!

Mpwa-Shemeji Nguli umeweka picha yangu mbona? without seeking my consent hahahahah nina kusue sehemu sehemu!
 
Sina cha kumlipa MAXENCE namuombea maisha marefu kanipa marafiki/WAPWA na sasa naona my heart will soon beat at the higher rate.
Na bado, subiri tuchanje mbuga kuelekea mbugani ndio utazidi kujua umuhimu wa wapwa. Nimekugongea senksi mpwa, rudi kathibitishe.
 
Mpwa-Shemeji Nguli umeweka picha yangu mbona? without seeking my consent hahahahah nina kusue sehemu sehemu!

Ha ha ha ha, ni kweli samahani shemeji, nilikuwa naonyesha dedication na commitement yako pale.
 
hahahaaa, mkuu umeniingiza chaka, mbona senksi sijaiona??, gonga tena hapa basi!.

Mpwa kuna watu wachoyo wa senksi sijapata kuona. We chunguza uone. Wakiendelea na uchoyo huo sijui kama watapata watoto. Hahahaha!
 
mpwa leo nagawa senksi kwa kwenda mbele, mtu akikosa akaoge maji ya baharini.
huyu BabyLove hana senksi hata moja, kwa heshma na taadhima naomba niwe WA KWANZA kumpa senksi.
hahahahaaaaa.

Join Date: Tue Oct 2009
Posts: 23
Thanks: 5
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
 
Hahaha! Mpwa umeshatembelea mpaka uvunguni mwa mchuchu. Inaweza kuwa gear nzuri, hebu jaribu afu utani-PM matokeo yake.
 
hahahaaaaa, JF bana naipenda sana, niko tayari kunywa sumu kwa ajili ya JF!.
unashangaa mpwa?, JF brings pipo tugeza.
 
mpwa leo nagawa senksi kwa kwenda mbele, mtu akikosa akaoge maji ya baharini.
huyu BabyLove hana senksi hata moja, kwa heshma na taadhima naomba niwe WA KWANZA kumpa senksi.
hahahahaaaaa.

Join Date: Tue Oct 2009
Posts: 23
Thanks: 5
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
na mimi nakuunga mkono na mguu kumgongea senks babylove, kathibitishe.
 
hahahaaaaa, JF bana naipenda sana, niko tayari kunywa sumu kwa ajili ya JF!.
unashangaa mpwa?, JF brings pipo tugeza.

Mpwa nimekugongea senksi. Kaangalie. Hiyo nilikuwa natafuta kabatani ka hongera. Kumbe hakapo. Basi naomba hiyo senksi isomeke hongera. Yu knoo woram seyying? hahaha! Karibu nyumbani babylove! Hahahaha!
 
Mpwa, nilianza kutuma salamu kule kwenye thread y a JF inafadhiliwa na nani mods wakanipiga mkwara maana nimepata msg ambayo siielewi, sijui ile thread imeshtukiwa, ikabidi nisepe, mzima lkn? missed you guys big tym!
 
Hahaha! Sana tu! Nimekugongea senksi. Kathibitishe. How woz dhe vekesheni bai dhe wei?
 
Back
Top Bottom