Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
- #21
Kikenya ndio mnyama yupi?...wacha upumbavu brazaHicho ni Kingereza au Kikenya, mbona hakuna ufasaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikenya ndio mnyama yupi?...wacha upumbavu brazaHicho ni Kingereza au Kikenya, mbona hakuna ufasaha!
jitu zima unaleta maneno ya kike , ndio maana uchokoraa haukutoki. wenzio wapo kazini muda huu.punguza povu isije ikakunyonga....ama pelekea nyanyako ule mashambani LDC...
ina maana mimi niko chooni??? ujinga umekuzidi akilinijitu zima unaleta maneno ya kike , ndio maana uchokoraa haukutoki. wenzio wapo kazini muda huu.
Povu la nini sasa. Ulipotunanga hapo kwenye heading ulitegemea nini?Kikenya ndio mnyama yupi?...wacha upumbavu braza![]()
![]()
Aa wapii nitaleta clips za kiingereza chenyu..a lot of Ndaring. ..mkenya wa mashambani takukorogea Kiingereza uskie...dah njoo tu kwa mtz...aibu iliyoje...mpaka wasanii kama Platnumz...
uhuru umewafikisha wapi....si nyinyi bado maskini wa LDC?Kwanza kwa hapa watanzania tulipo katika kuongea hicho Kiingereza tunahitaji Sifa kubwa ebu fikiria kujifunza lugha ambayo sio yako ukubwani tena shuleni tu na kuweza kuwasiliana na ukaeleweka!?he Hilo si la kupongezwa?Assume na sisi tungejipendekeza kwa wazungu (kutothamini vyenu na kuamini kila cha mzungu ni kizuri)na kukifanya kiingereza kiwe lugha ya Taifa kama nyinyi tungekuwa wapi?lkn wazee wetu walijua nini maana halisi ya Uhuru !
Wi havu no taimu fo mumbojumbo .mkenya wa mashambani takukorogea Kiingereza uskie...dah njoo tu kwa mtz...aibu iliyoje...mpaka wasanii kama Platnumz...
povu hamna hapa wala hutaona povu....ukweli umeletwa sasa tafakari...ushamba mlionao watz unatia aibu...Povu la nini sasa. Ulipotunanga hapo kwenye heading ulitegemea nini?
eti go tu heli? dah!Wi havu no taimu fo mumbojumbo .
Wi ari bize meking fudi endi mane.
Go tu heli withi yua inglish
Styupidi nyang'au[emoji57] [emoji15]
na usisahau mpaka za PlatnumzAa wapii nitaleta clips za kiingereza chenyu..a lot of Ndaring. ..
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
haya nend kazini usije ukafutwa kazi...maskini wa LDCUtumwa bado upo na utumwa unaishi katika akili za waafrika walio wengi.
Mtu mzima anasema kujua kiingereza ni jambo la kujivunia sana? Ukijua lugha yako peke yake kuna tatizo gani? Ukijua kiingereza ndio uko intelligent? Hizi ni akili za kitumwa
Kwanza nahisi we mbongo uongoeti go tu heli? dah!
ama kweli Bongolala ataishi kuwa Bongolala milele![]()
Hahah he makes more money than all Kenyan musicians combined..na usisahau mpaka za Platnumz![]()
![]()
Kama sio mbongo basi bongo ilikinyoosha kiswahili chako.na usisahau mpaka za Platnumz![]()
![]()
Dunia imekua sehemu ya ajabu sana, watu wanachukulia kiingereza kama kipimo cha ufahamu(uelewa), hii ni ajabu sana hasa kwa watu wazima kama wewehaya nend kazini usije ukafutwa kazi...maskini wa LDC![]()
Ushamba upi? Huyo ndogo hana ufasaha wa lugha hiyo maneno mengine hayasikiki na kama wewe uko hivyo. Bila shaka hii lugha ya utumwa wa kikoloni imekumbwa na majangapovu hamna hapa wala hutaona povu....ukweli umeletwa sasa tafakari...ushamba mlionao watz unatia aibu...
unamtambua Jaguar na Prezzo ama unaropokwa tu hapa...yaani Platnumz ni kama chokora tu kwa hawa majamaaHahah he makes more money than all Kenyan musicians combined..