super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,479
- 1,097
how does his English help him to get out of the poverty...??
Emancipate yourself from mental slavery.
Emancipate yourself from mental slavery.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe waweza hata kuzungumza sentnsi moja? yaani mtoto wa class 2 wa kwetu anamshinda mpaka mtoto wa form 2 wa tzUshamba upi? Huyo ndogo hana ufasaha wa lugha hiyo maneno mengine hayasikiki na kama wewe uko hivyo. Bila shaka hii lugha ya utumwa wa kikoloni imekumbwa na majanga
Hata chumba cha kuishi hawana wanakaa kwa mama zao ...unamtambua Jaguar na Prezzo ama unaropokwa tu hapa...yaani Platnumz ni kama chokora tu kwa hawa majamaa
go and ask ur father...how does his English help him to get out of the poverty...??
Emancipate yourself from mental slavery.
ina maana wewe ndio huwa unawalipia rent huko wanakokaa kwa mama zao..usifikiri tunazungumzia shilingi za tanzania ambazo ni kama pesa za zimbabweHata chumba cha kuishi hawana wanakaa kwa mama zao ...
Bado kujua kiingereza sio jambo la kujivunia maana kiingereza sio lugha yenu,ni lugha ya waingereza kwa kukomalia kiingereza mnamsaidia mwingereza kueneza utamaduni wake na kuonekana nyinyi ni watumwa kifikra.wewe waweza hata kuzungumza sentnsi moja? yaani mtoto wa class 2 wa kwetu anamshinda mpaka mtoto wa form 2 wa tz
kamwulize nyanyakoBado kujua kiingereza sio jambo la kujivunia maana kiingereza sio lugha yenu,ni lugha ya waingereza kwa kukomalia kiingereza mnamsaidia mwingereza kueneza utamaduni wake na kuonekana nyinyi ni watumwa kifikra.
Angalia wachina kama wanahangaika na lugha ya mtu kabla ya kuhangaika na lugha yao?
Waafrika tuna tabu sana.
Huddah huwachana live. Huyo Jaguar juzi kuchukua mkopo kugombea Ubunge starehe kashindwa akaanza kulia kwa machungu akifikiria jinsi gani atalipa deni.ina maana wewe ndio huwa unawalipia rent huko wanakokaa kwa mama zao..usifikiri tunaongelea shilingi za tanzania![]()
![]()
Ndio maana bado waafrika ni maskini.kamwulize nyanyako
Waafrika wana giza sana. Bado ukoloni mamboleo unaendeleaBado kujua kiingereza sio jambo la kujivunia maana kiingereza sio lugha yenu,ni lugha ya waingereza kwa kukomalia kiingereza mnamsaidia mwingereza kueneza utamaduni wake na kuonekana nyinyi ni watumwa kifikra.
Angalia wachina kama wanahangaika na lugha ya mtu kabla ya kuhangaika na lugha yao?
Waafrika tuna tabu sana.
Safi sanaWakenya mnapenda league,English ni lugha tu sio measure ya intelligence au maendeleo...sometimes you have to shut your mouth so people wont know your stupidity level. When saying something like this think of China or NK
Sasa kama siwezi kuzungumza. Iliwezekana vipi kugundua mapungufu ya huyo dogo?wewe waweza hata kuzungumza sentnsi moja? yaani mtoto wa class 2 wa kwetu anamshinda mpaka mtoto wa form 2 wa tz
Hiyo ni lugha tu, watoto wa standard 2 uingereza wanaongea kiingereza ambacho maprof. wa Kenyata university hawataweza kuelewa bila mkalimani.yaani mnamwaga povu kwel kwel...yaani yule ni chkora ana koroga Kiingereza utafikiri amesoma mpaka chuo kikuu kule Uingereza...lakini njoo kwa mtanzania ndio utaona mazingaombwe....hata sentensi moja tu taabu...![]()
hata rais mwenyewe nilishtuka jamaa haelewi...hivi niwaulize mnafunzwa Kemia yaani Chemistry na lugha ipi? washamba wa East Africa![]()
![]()
![]()
![]()