This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

We unaona kiingereza kwenye hiyo context na sio huyo chokoraa mlala na njaa Your governmeny has crippled tje economy hadi mnakula mlo mmoja a day
 


Nlichokiona kwenye hii clip si kuongea tu kingereza. Huyu mtoto ana ubongo mzito sana, anajua vitu vikubwa kuliko umri wake. Ukimsikiliza kwa makini anawazidi hata baadhi ya wasomi wa vyuo vikuu kwa nchi yetu ya Tanzania. English is just a language sio ishu saaana.
 
Kwani kujua kiingereza ndio kipimo cha elimu
 
Sasa kwani sisi waingereza huwezi msifia samaki kuogelea
 
Wakenya mnapenda league,English ni lugha tu sio measure ya intelligence au maendeleo...sometimes you have to shut your mouth so people wont know your stupidity level. When saying something like this think of China or NK
Oya na ww pia ni haga sana

How come u saw this parody thread but didnt see the original one which is literally next to it???

Eeh??
Mnaanzisha Ushindani za ufala alafu mkipewa counter mnaanza kutoa povu

Enda kalisha Haga Juu ya miba
Idiot!!

Ur fellow Tanzanian Started this shit NOT A KENYAN mgumu2 IDIOT!!!!
1496380837283.png
 
yaani mnamwaga povu kwel kwel...yaani yule ni chkora ana koroga Kiingereza utafikiri amesoma mpaka chuo kikuu kule Uingereza...lakini njoo kwa mtanzania ndio utaona mazingaombwe....hata sentensi moja tu taabu...
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
hata rais mwenyewe nilishtuka jamaa haelewi...hivi niwaulize mnafunzwa Kemia yaani Chemistry na lugha ipi? washamba wa East Africa
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
hatujui kiingereza ila mengine yote tuko fiti.
pambaneni na uchaguzi na upite salama, kabila gani vile atashinda?
 
punguza povu isije ikakunyonga....ama pelekea nyanyako ule mashambani LDC...

We jamaa hujielewi;
English is not our 1st nor 2nd Language;
so let us speak it with all the imperfections that are there...
as is swahili to you people; no one laughs at your swahili coz sio language yenu.

eg. "ikakunyonga" "nyanyako""pelekea" WTF do those words even mean.
that's f***d up swahili eish.

nyanyako means "your tomato" in swahili fasaha.
 
Hahah ngoja nilete clips za wale wanasiasa wenyu na Kiingereza Chao kibovu

Hamjui Kiingereza wala Kiswahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
What is kiingereza mother funk jivunie lugha yako mburula mkubwa
 
Watanzania sisi ni wanafika sana...ukisema leo kuna course ya Kifrance inatolewa bure utaona foleni ya watu wanavyojiandikisha kwenda kusoma!
Kiingereza muhimu kujua kwa taaifa linaloendekea kama Tz kwani mifumo mingi inatumia kiingereza kwahiyo tusiwe wepesi kukataa kiingereza Rais
wangu nampenda sana coz anaendelea kutufuta machozi sisi watanzania,Magu piga kazi whether kiingereza or not u deserve to be president of our Nation!
 
unamtambua Jaguar na Prezzo ama unaropokwa tu hapa...yaani Platnumz ni kama chokora tu kwa hawa majamaa
Platnumz is selfmade bruv, from the slums...
Prezzo anakula inheritance...
we jamaa akili yako ni F****d up ile mbaya.
Kama kingereza hakiniongezei pesa mfukoni then let me keep acquiring wealth with my swahili.
 
punguza povu isije ikakunyonga....ama pelekea nyanyako ule mashambani LDC...

kiingereza cha the mboy andi the ngal! rubbish! kwanza kwenye ranking ya mataifa ya ki afrika yanayo ongea kiingereza kizuri hampo!! you ngal! what you are good at is aping and nothing more!
 
Watanzania sisi ni wanafika sana...ukisema leo kuna course ya Kifrance inatolewa bure utaona foleni ya watu wanavyojiandikisha kwenda kusoma!
Kiingereza muhimu kujua kwa taaifa linaloendekea kama Tz kwani mifumo mingi inatumia kiingereza kwahiyo tusiwe wepesi kukataa kiingereza Rais
wangu nampenda sana coz anaendelea kutufuta machozi sisi watanzania,Magu piga kazi whether kiingereza or not u deserve to be president of our Nation!
Kwa mawazo yako cyo yetu
 
watanzania wanafiki wakubwa sana...mnamwaga povu kwa huu uzi mbona ule wa Giza akisema mkalimani anaongea kiswahili kizuri zaidi ya Uhuru na wakenya wote hamkuongea...tokeni apa
 
Back
Top Bottom