This Kenyan street kid anaongea Kiingereza kizuri kuliko Magu na watanzania wote

punguza povu isije ikakunyonga....ama pelekea nyanyako ule mashambani LDC...
jitu zima unaleta maneno ya kike , ndio maana uchokoraa haukutoki. wenzio wapo kazini muda huu.
 
Kwanza kwa hapa watanzania tulipo katika kuongea hicho Kiingereza tunahitaji Sifa kubwa ebu fikiria kujifunza lugha ambayo sio yako ukubwani tena shuleni tu na kuweza kuwasiliana na ukaeleweka!?he Hilo si la kupongezwa?Assume na sisi tungejipendekeza kwa wazungu (kutothamini vyenu na kuamini kila cha mzungu ni kizuri)na kukifanya kiingereza kiwe lugha ya Taifa kama nyinyi tungekuwa wapi?lkn wazee wetu walijua nini maana halisi ya Uhuru !
 
uhuru umewafikisha wapi....si nyinyi bado maskini wa LDC?
 
mkenya wa mashambani takukorogea Kiingereza uskie...dah njoo tu kwa mtz...aibu iliyoje...mpaka wasanii kama Platnumz...
Wi havu no taimu fo mumbojumbo .

Wi ari bize meking fudi endi mane.

Go tu heli withi yua inglish

Styupidi nyang'au[emoji57] [emoji15]
 
Povu la nini sasa. Ulipotunanga hapo kwenye heading ulitegemea nini?
povu hamna hapa wala hutaona povu....ukweli umeletwa sasa tafakari...ushamba mlionao watz unatia aibu...
 
Wi havu no taimu fo mumbojumbo .

Wi ari bize meking fudi endi mane.

Go tu heli withi yua inglish

Styupidi nyang'au[emoji57] [emoji15]
eti go tu heli? dah! ama kweli Bongolala ataishi kuwa Bongolala milele
 
Utumwa bado upo na utumwa unaishi katika akili za waafrika walio wengi.
Mtu mzima anasema kujua kiingereza ni jambo la kujivunia sana? Ukijua lugha yako peke yake kuna tatizo gani? Ukijua kiingereza ndio uko intelligent? Hizi ni akili za kitumwa
 
Utumwa bado upo na utumwa unaishi katika akili za waafrika walio wengi.
Mtu mzima anasema kujua kiingereza ni jambo la kujivunia sana? Ukijua lugha yako peke yake kuna tatizo gani? Ukijua kiingereza ndio uko intelligent? Hizi ni akili za kitumwa
haya nend kazini usije ukafutwa kazi...maskini wa LDC
 
povu hamna hapa wala hutaona povu....ukweli umeletwa sasa tafakari...ushamba mlionao watz unatia aibu...
Ushamba upi? Huyo ndogo hana ufasaha wa lugha hiyo maneno mengine hayasikiki na kama wewe uko hivyo. Bila shaka hii lugha ya utumwa wa kikoloni imekumbwa na majanga
 
Hahah he makes more money than all Kenyan musicians combined..
unamtambua Jaguar na Prezzo ama unaropokwa tu hapa...yaani Platnumz ni kama chokora tu kwa hawa majamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…