Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
kingereza chake kimemsaidia kutoka uchokorani??????? mpelekeni basi Uchina akafundishe Kingereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nikwamba tu Wakenya hamna akili kama mnaona kujua Kiingereza ndio kila kitu. Hiyo ni lugha tu ya mawasiliano kama kikikuyu au kikamba. Acheni huo ushamba mnajiaibisha mno
Brother i beg to differ with you, Gosh! before I do that, labda unisaidie una maana gani kusema kiswahili bado sana kupata hadhi ya kimataifa!Oh my! Oh my!
Hapa naona Jay ameguza pabaya mno.
Kumbe watanzania hawapendi kuambiwa ati hawajui English!
Yani thread ilifunguliwa saa moja, by saa 9.40 iko na more than 100 comments, na karibu zote bi za watanzania kujitetea ati Kiingereza si lugha yao, ni utumwa.
Kama ni hivyo, mimi kama si mswahili ni sababu gani nijue Kiswahili, manake sio lugha yangu na huenda hiyo pia ikawa ni utumwa wa kimawazo.
Lakn kwa wakenya kujua kingereza hakumanishi wanetelekeza lugha na tamaduni zao za kiafrika. Kizungu ni lugha yetu ya kimasomo na pia ya kutangamana na watu kutoka mataifa ya nje.
Tukiamua sote kujikita kwenye hili lugha moja ya Kiswahili, na wale waafrika wengine kwa luhga zao na kutupilia mbali kizungu ati ni utumwa ( na mwenye maoni kama haya ni mpumbavu balaa), basi ni vipi tutaweza kuwasiliana na watu kutoka mataifa mengine ya kiafrika kama Nigeria, SA, Ghana nk, ukiachilia mbali mataifa ya kizungu?
Tutawezaje kutangamana, kufanya biashara, kujitetea dhidi ya dhulma kutoka mataifa ya nje?
Mchina hajui kiswahili, nami mkenya sijui kichina, lakini.kuna uwezekano mkubwa sana ya kwamba sote tunajua kizungu.
Kwa hivyo, acheni kujidanganya watanzania. Kweli, ni vyema sote kama wana East Afrika kulitukuza lugha ya kiswahili, lakn ukweli ni kwamba bado sana kupata hadhi ya kimataifa.
For the sake of our development, for the sake of trade and political and technological and cultural intercourse with the rest of the world, we need to master at least one of these global languages.
hivi rais wa ufaranc, urusi, china, waziri Mkuu wa Japan na yule wa Spain wanafahamu kiingereza kweli?' kumbe na wao ni mbumbumbu kwa kutojua kuongea kingereza! aisee!yaani mnamwaga povu kwel kwel...yaani yule ni chkora ana koroga Kiingereza utafikiri amesoma mpaka chuo kikuu kule Uingereza...lakini njoo kwa mtanzania ndio utaona mazingaombwe....hata sentensi moja tu taabu...![]()
hata rais mwenyewe nilishtuka jamaa haelewi...hivi niwaulize mnafunzwa Kemia yaani Chemistry na lugha ipi? washamba wa East Africa![]()
![]()
![]()
![]()
Hakuna lugha inayoitwa "kizungu"Oh my! Oh my!
Hapa naona Jay ameguza pabaya mno.
Kumbe watanzania hawapendi kuambiwa ati hawajui English!
Yani thread ilifunguliwa saa moja, by saa 9.40 iko na more than 100 comments, na karibu zote bi za watanzania kujitetea ati Kiingereza si lugha yao, ni utumwa.
Kama ni hivyo, mimi kama si mswahili ni sababu gani nijue Kiswahili, manake sio lugha yangu na huenda hiyo pia ikawa ni utumwa wa kimawazo.
Lakn kwa wakenya kujua kingereza hakumanishi wanetelekeza lugha na tamaduni zao za kiafrika. Kizungu ni lugha yetu ya kimasomo na pia ya kutangamana na watu kutoka mataifa ya nje.
Tukiamua sote kujikita kwenye hili lugha moja ya Kiswahili, na wale waafrika wengine kwa luhga zao na kutupilia mbali kizungu ati ni utumwa ( na mwenye maoni kama haya ni mpumbavu balaa), basi ni vipi tutaweza kuwasiliana na watu kutoka mataifa mengine ya kiafrika kama Nigeria, SA, Ghana nk, ukiachilia mbali mataifa ya kizungu?
Tutawezaje kutangamana, kufanya biashara, kujitetea dhidi ya dhulma kutoka mataifa ya nje?
Mchina hajui kiswahili, nami mkenya sijui kichina, lakini.kuna uwezekano mkubwa sana ya kwamba sote tunajua kizungu.
Kwa hivyo, acheni kujidanganya watanzania. Kweli, ni vyema sote kama wana East Afrika kulitukuza lugha ya kiswahili, lakn ukweli ni kwamba bado sana kupata hadhi ya kimataifa.
For the sake of our development, for the sake of trade and political and technological and cultural intercourse with the rest of the world, we need to master at least one of these global languages.
Hana akili huyo anaongea vitu vya kijingajinga utumwa Wa kimawazo umemtawala.Brother i beg to differ with you, Gosh! before I do that, labda unisaidie una maana gani kusema kiswahili bado sana kupata hadhi ya kimataifa!