This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Bwana yule alikuwa akiwapenda "watu kama yeye!!"
 
Ushahidi wa kimazingira huwa unakuwaje?

 
Ushahidi wa kimazingira huwa unakuwaje?
Ushahidi wa kimazingira, yaani circumstantial evidence, hutumika tuu kama a lead, towards the real evidence, na kwa sisi waandishi wa habari, circumstantial evidence hutumika tuu kama tip ya kufanyia IJ (investigation journalism).

Ushahidi wa circumstantial evidence, hauwezi kusimama wenyewe kama ushahidi, bila kuwa collaborated na any real evidence ya ushahidi usiotia shaka.

Ndio maana katika shambulio la Lissu, kwasababu kuna mtu alisikika akisema vita vya kiuchumi ni mbaya kuliko vita vya silaha kwasababu adui yako humuoni, kisha akasema kuhusu wasaliti vitani huwa wanafanywa nini, akamsema mtu fulani kuwa ni msaliti, simu yake tume I trap, kila siku anauliza mara hili mara lile, na kusema " mtu kama huyu, hawezi kuachiwa akasurvive tuu hivi hivi". Baada ya kauli hiyo, ndipo Lissu akashambuliwa. Hivyo nikashauri uchaguzi uanzie kwa mtu aliyetoa kauli hiyo.

Kwa vile kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mhimili, CinC, who would dare interrogate him?, hakuna, but the press is the 4th Protocol, we can!, hivyo kwanza nikaeleza humu kuwa sisi Press tunaweza kuwabaini hao wasiojulikana Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
Kisha nikasema, kama serikali imeshindwa kuwabaini wasiojulikana iseme imeshindwa na kuomba msaada isaidiwe.. WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

P
 
Kama ulithubutu kuposti hii wakati ule akiwa kwenye peak hakika unatisha Pascal Mayalla
Mkuu Ralph Tyler , kiukweli watu wenye uwezo wa to read in between the lines humu ndani ni wachache, hivyo wewe ni one among the few, hongera. Nimeposti vitu vingi tuu vikubwa na kiukweli vimesaidia Sana. Mfano mzuri ni hoja za kwenye uzi huu wa 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hivyo Ile 2015 ilipokuja kutokea kweli, nikasema humu Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Na yote niliyosema yametokea!.
P

P
 
Kama ulithubutu kuposti hii wakati ule akiwa kwenye peak hakika unatisha Pascal Mayalla
Ndio maana kuna mahali nimemhoji mzee mwenzangu Pascal Mayalla siku hizi amepatwa na nini?
Wakati ule wa hatari alikuwa moto sana, lakini sasa pamoja na mazingira kuwa mepesi kidogo kila upande(maana hata mzee wa Kibaigwa hatujui hata alipo) kapoa na hasemi kweli tena jee ni uzee au ukada?
 
Hii kazi uliyokuwa umewatwisha wanahabari wenzako ya 'kuwabaini wasiojulikana' ilikuwa ni kuwachonganisha na ule mhimili mkubwa.

...Sio poa kabisa....
 

Bro, please do not mention prifessionalism and police investigators in the same sentence. How is having a theory and pick facts to support it professional? Professionalism is getting all facts and considering ONLY those that BUILD a theory!

Unprofessional police investigators are the reason why our prisons are full of brothers and sisters serving times for petty crimes!! Kuiba kuku, kupigana, kunywa gongo, kuvuta bangi. They simply cannot investigate white-colar crimes!!!! Even when investigation petty crimes - they break codes and rights as they go, UNWITTINGLY!!
 

Bro, please do not mention prifessionalism and police investigators in the same sentence. How is having a theory and pick facts to support it professional? Professionalism is getting all facts and considering ONLY those that BUILD a theory!

Unprofessional police investigators are the reason why our prisons are full of brothers and sisters serving times for petty crimes!! Kuiba kuku, kupigana, kunywa gongo, kuvuta bangi. They simply cannot investigate white-colar crimes!!!! Even when investigating petty crimes - they break codes and rights as they go, UNWITTINGLY!!
 
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga
heshima inayotakiwa iwe ya moyoni.
---
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.

Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Mkuu Mmawia , asante kwa hoja hii ya nidhamu ya woga.

Kuna watu humu hili la nidhamu ya woga ndio wamelijua Leo baada ya kusemwa na Mama Samia.

If you have time, angalia tarehe ya bandiko hili na hoja yake muone sisi wengine tulilisema nini lini Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.

Kwa wavivu wa kufollow links, hapo niliuliza
Hatukuishia Kwa Number 1 tuu,
ila pia niliendesha somo humu namna ya kutofautisha kuongea Kwa ukali na kufoka foka Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!

hata number 3, yule Kiranja Mkuu wa viranja pia tuliwahi kumshauri Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Hata baadhi ya Mawaziri walipokosa utu, akina sisi tuliwasema... Awamu ya tano: Kuweni Wakali, msionee! Tangulizeni utu na ubinaadamu kwanza!

Na hatukuishia viongozi wakuu na Mawaziri pekee, hata ma RC tuliwamulika Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation!

Huyu pia This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Hivyo hili la nidhamu ya woga lilikuwepo sana kwa JPM, lakini twende nyuma na kurudi mbele,
Kwa hali hii, mfano Mama naye ni binadamu, anaweza kukosea, jee akikosea kibinaadamu, kuna kiongozi yoyote ndani ya serikali anaweza kum correct, au kuna any main stream media that would dare criticize or correct her, or the epitome of cowardice inaendelea?!.

Nasisitiza Mama naye she is a human being, anahitaji kusapotiwa, kusaidiwa, kushauriwa, na akikosea akosolewe kistaarabu kwa lugha ya heshima na staha huku akishauriwa the right thing to do, ushauri wangu wa kwanza, ni Tanzania tunaweza kabisa kusonga mbele na kufanya mazuri bila kunyoosheana vidole and calling names kama "Simba wa Yuda".
Nashauri tufanye tuu mambo tofauti bila kumtaja taja Kwa ubaya!
Aachwe Apumzike!.

Jumapili Njema

Paskali.
 
Pascally umeeleweka sana ila sema tu wana jf tulio wengi mara nyingi mazoea ndiyo huwa yanatugharimu sana lkn ukweli huwa unausema.
 
Dkt. Slaa kasema hajui hata jina la RC wa Dar lakini ni mjinga fulani,

View attachment 2670137
Duh...!.
P
 
Leo hii ni mkuu wako wa mkoa na itabidi uombe appointment ili uweze kumuona, wenzako wanacheza na sera za mkuu alie pale juu, magufuli vibaka walifuatwa usiku kimya kimya na kumalizwa hakua na muda wa kesi kesi na ndio hata chalamila akakazia hapo, leo naona jamaa ni political genius,
 
Hii kazi uliyokuwa umewatwisha wanahabari wenzako ya 'kuwabaini wasiojulikana' ilikuwa ni kuwachonganisha na ule mhimili mkubwa.

...Sio poa kabisa....
Mimi ni mwanahabari wa IJ, sijawatwishwa wanahabari wenzangu wowote, but it's a collective responsibility ya sisi media, mimi nikiwa inclusive.
P
 
Watu wanashangaa tukio la Gekul kwasababu mtuhumiwa lived to tell, ndio Rais Samia akashtuka na kuchukua hatua. Ma psychopath kama hawa wako wengi, mhanga wa tukio hili was not fortunate enough to live to tell!.
P
 
Watu wanashangaa tukio la Gekul kwasababu mtuhumiwa lived to tell, ndio Rais Samia akashtuka na kuchukua hatua. Ma psychopath kama hawa wako wengi, mhanga wa tukio hili was not fortunate enough to live to tell!.
P
Inasikitisha sana
 
Islamic laws zinasemaje kwa wizi?

Enzi za Magufuli wilaya moja kulikua na wizi wa engine za boti kilicho fanyika wezi/ majambazi wotee na umma kwa ujumla kutangaziwa kuacha Mara moja kujihusisha na uharamia huo..

Aftermath,
Walio Endelea na uharamia huo ilikua ni zawadi ya kifo TU ndipo wizi wa aina hiyo ukakoma ZIWA Victoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…