This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

It’s only a matter of time !
Na kweli yametimia !
Duh 🙄 !
paskali ni mtabiri ??!
 
Mtu anayefurahia sana, mno kupita maelezo, kifo cha binadamu mwenzake, tena kifo cha kupasuliwa kichwa na ubongo wake kuruka na kutapakaa hewani, mtu wa type hii ni sadist!.
Tunaweza kujikuta tuna ma sadist wendi kuliko tunavyojidhania!.

P.
 
Yeah!..Aliyeagiza mauaji ya kinyama ya raia Oktoba 29,30,31 licha ya kuwa ni sadist pia sio mzima wa akili.
 
Yeah!..Aliyeagiza mauaji ya kinyama ya raia Oktoba 29,30,31 licha ya kuwa ni sadist pia sio mzima wa akili.
Sadism ni abnormal personalty, ni ugonjwa hivyo ma sadist wote ni wagonjwa, so does ma psychopaths!.
P
 
Mtu anayefurahia sana, mno kupita maelezo, kifo cha binadamu mwenzake, tena kifo cha kupasuliwa kichwa na ubongo wake kuruka na kutapakaa hewani, mtu wa type hii ni sadist!.
Tunaweza kujikuta tuna ma sadist wendi kuliko tunavyojidhania!.

P.

Ooh yeah….wapo wengi tu mbona.

Kwa mfano, kuna hawa waliowapasua vichwa watoto wa Kitanzania miezi michache tu iliyopita.

Waliowauwa hao watoto, na wale waliotoa amri ya kuwaua, na wewe unayewanyonya dhakari hao wauaji, nyie siyo masadist?

Tuwaite watakatifu labda?
 
Ooh yeah….wapo wengi tu mbona.

Kwa mfano, kuna hawa waliowapasua vichwa watoto wa Kitanzania miezi michache tu iliyopita.

Waliowauwa hao watoto, na wale waliotoa amri ya kuwaua, siyo masadist?

Tuwaite watakatifu labda?
Sadism sio kuua,aliyewatuma hao wauaji,alitoa tu amri ya shoot,bila kusema shoot to kill,amri was just shoot, ni jukumu la polisi walenge wapi kwenye hizo shooting,lengo la kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ni just destabilizing only and not to kill, but very unfortunately hatuna snipers wa kulenga miguuni, na kufuatia seke seke ya waandamanaji risasi zimewafumua vichwa kwa bahati mbaya, sio sadism, bali watu wanao sambaza hizi picha, na wakiziangalia wanaona raha, hawa ndio ma sadist
P
 
Bado hajafika kiwango cha Samia cha kuua Watanganyika wanaoandamana, waliokuwa majumbani mwao na vijiweni, wajawazito na watoto wadogo. Samia ni serial killer na alitetea uuaji hadharani mbele ya vikongwe wa CCM.
 
lengo la kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ni just destabilizing only and not to kill, but very unfortunately hatuna snipers wa kulenga miguuni, na kufuatia seke seke ya waandamanaji risasi zimewafumua vichwa kwa bahati mbaya, s
Haya maelezo umepewa na hao wauaji?....au umeamua kujiongeza kusafisha na kutetea huo Uovu?..
 
Haya maelezo umepewa na hao wauaji?....au umeamua kujiongeza kusafisha na kutetea huo Uovu?..
kwenye fani yetu ya uandishi wa habari,kuna waandishi wachokonozi,na kuna waandishi wazalendo, mimi ni mwandishi mzalendo,tuna utii kwa mamlaka

Mkuu wa mkoa wa DSM, alisema hakuna polisi aliyeua mtu,kama kuna watu wowote waliokufa kwa risasi,kilicho waua sio polisi,ni risasi ndio zimeua,kutoka kwenye bunduki, polisi wao walipewa amri ya kufyatua tuu risasi nao wakatimiza wajibu wao kwa kufyatua tuu na walijifyatulia tuu hovyo hovyo, ila ni
risasi zenyewe ndio ziliamua zielekee wapi, zimpige nani, zipige wapi, na ndizo zilizo waingia watu na kuwaua!。
Angalizo: kuyasema haya hakumaanishi mimi naunga mkono kilichotokea ndio maana kwanza niliuliza PostGE2025 - Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu?

kisha nikatoa pole zangu Poleni Watanzania Wenzangu Wote kwa Kilichotokea Uchaguzi Huu,Tuheshimu Mamlaka, Je Serikali Iwajibike Kulipa Fidia Uharibifu Wote kwa Kuusababisha?

P
 
Kiongozi acha basi utetezi wa hovyo.

Yani unakubali kwamba ilitolewa command ya shoot na mkubwa then unalaumu askari kwanini walitarget maeneo tofauti na miguu?

Hivi risasi za moto zinaruhusiwa kutumika kutawanya maandamano au vurugu?

Hapa unajaribu kumlinda aliyetoa amri au unajaribu kulaumu waliotekeleza hiyo amri au wanaoshare picha jinsi uhalisia ulivyokuwa?

Anyway,nchi ina kazi kubwa kama unaweza tetea huu ushenzi wa huyo mtoa amri basi safari yetu ni ngumu
 
Haya maelezo umepewa na hao wauaji?....au umeamua kujiongeza kusafisha na kutetea huo Uovu?..
Nchi ina kazi hii.Just imagine huyu naye anakwambia ni mwandishi tena mzalendo.Mbona kazi jamani.Mtu kama huyu wangefumua watoto wake kadhaa na hizo risasi akili mbona zingerudi.

Lakini siku itafika tu watu wa hivi mbona mtalipa tu.
 
Sawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…