This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kwa wale wenye ujuzi na subira, utulivu, ujuzi with energy, watuanzishie a CITIZENS petition kwa raisi,ili huyu RC aondolewe kazini mara moja kwa Amri ya raia walionpigia kura Mhe. RAISI. CITIZENS IRREVOCABLE PETITION
 
Mkuu Pascal Mayalla unadhani siku ile Lissu aliposhambuliwa, pale Ikulu hawakunywa bia kusherehekea tukio lile?

Nakwambia kuna mtu alifurahia 'kweri kweri'.Na ni mtu ambaye wewe huwa unamtetea na kumkubali sana.NA YEYE KARMA INAMSUBIRI.
 
Jaman tuache matani, umefika Sasa wakati wa kila mtanzania kupiga goti na kumwomba Mungu kuhusu hatma ya Tanzania. Tumuombe Mungu awape viongozi wetu hekima, na moyo wa uwajibikaji. Tumuombe atusaidie kulinda amani na mshkamano wetu wa kitaifa. Tutubu kwaajili ya mioyo ya viongozi iliyojaa chuki, visasi, jeuri na kiburi Cha uzima.
 
Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokota wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of state of mind kabla ya uteuzi hi nina amini kabisa alipoteuliwa, mteua hakujua state of mind ya mteuliwa huyu!.
Huyu amekuwa na mtiririko wa kutoa maneno mbovu mbovu ambayo kikawaida hutegemei yatoke kwa mtu wa hadhi yake. Na hata baada ya hili simuoni JPM akifanya au kusema lolote juu ya "mshenzi" kama huyu. Hivyo kwangu mimi mamlaka ya uteuzi ndiyo inawafuga watu kama hawa na bahati mbaya list ni ndefu pamoja na wale wanaovamia vituo vya TV na mabunduki etc. Kiufupi mamlaka yake ya uteuzi inahusika.
 
Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokota wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of state of mind kabla ya uteuzi hi nina amini kabisa alipoteuliwa, mteua hakujua state of mind ya mteuliwa huyu!.
 
kama tumemuomba mungu CCM ife na haifi unadhani tufanyeje?
 

first off, Pascal, tuna mambo meeeengi ya kufanya, hapa tunapita kama diversion baada ya kazi... okoa muda kwa kufanya kama mtangazaji wa mpira wa UK, harudii kusimilia kiiiila tunachokiona; tayari tukio tunaliona mubashara kwenye TV, okay ???

second: ni aibu kwa mchambuzi nguli wa siasa za Tanzania kuishangaa na kuilaumu mamlaka ya teuzi ilipomtoa huyu mtu; Mwaka juzi Kindondoni Biafra kwenye event ya polisi, Mamlaka ilitamka hadharani polisi waue washutumiwa. Unashindwa nini kuelewa kwamba hawa wawakilishi wake wanafanya exactly alichosema anataka ???

Ndo maana tunasema vyombo vya habari vyetu ni uhoro! Excuse my outrage! Unachambuaje taarifa kama hii bila kuipa jamii context kwamba haya yalishasemwa na Rais ?? Wewe, of all the journalists, among the most elite of all we have, mfuatiliaji mwenye passion and dedication ya mambo haya, hujui Rais alishawahi kuyasema haya?
 
Tunakoelekea huku siko kabisa, Tanzania ya matamko ya aina hii hatujayazoea na hatutayazoea maana sio matamko ya kiungwana wala kibinadamu. Huyu RC ilitakiwa baada ya kutamka haya ndio iwe siku ya mwisho kukalia ofisi ya umma.
 

Hizo kauli zake zinatofautiana nini na kauli za alie mteua?
 
Leo nimeulizwa na mfanyakazi mwenzangu unaonaje kauli za Chalamila nikakosa jibu. Sina jibu. Naumia zaidi kwa sababu Ukuu wa Mkoa ni nafasi kubwa sana ya uongozi inayonihitaji kuiheshimu. Ila najiuliza, Kiongozi ain aya Chalamila nampaje heshima? Ngumu sana. Wanangu wanaangaliaje video ya chalamila? Ni video chafu, inayofundisha uhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…