This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Hii style ilianzia juu ndio mana muanzilishi kauchuna tu, huko chini ni muendelezo tu kwa hisani ya mteuaji
 
Huo ni muendelezo wa style iliyoanzia juu,nyoka uzaa nyoka.Hawa huwa awatumbuliwi kwani umkuna mkunaji.
 

Attachments

  • Screenshot_2019-08-29-19-02-06.png
    286.6 KB · Views: 11
This Guy is Sadistic,

Lakini sishangai kwani Ukisikia hotuba za viongozi wetu utagudua kuwa Uongozi mzima wa Tanzania, kuanzia Raisi ni Sadist..

SADIST ni watu wanaopenda maumivu, watu wanaoona maovu ni kitu cha kawaida, wakiona mtu kafanyiwa maovu wao hufurahia, Akili zao zinaamini Maumivu ndio RAHA kwao..

Inashangaza kuwa Bunge la nchi hii mpaka leo wanarumbana kuhusu watoto wachapwe au wasichapwe viboko Mashuleni!!!, Wanaamini vitisho ndio maendeleo ya mtoto..

Hapa ndio utajua Watanzania WANAONGOZWA na watu wa aina gani..

Mungu ibariki Tanzania
 
Wataalamu wa akili wakimchunguza vizuri huyo Chalamila watabaini ana Post traumatic stress disorder (PTSD).

Si mara yake ya kwanza kuropoka "maneno ya uchungu".....

He is sick!
 
Kwa nchi za wenzetu, na hata kwenye nchi yetu endapo sheria zingefuatwa inavyopaswa, Rais akionesha mental instability au ugonjwa wa akili kama sadism, anaondolewa madarakani ili kuepusha nchi kuendeshwa na mwendawazimu!

Sadism ni ugonjwa mbaya sana ndio maana si ajabu ananyima watu ajira, anawafukuza makazini, anawafunga, na kutoa matamko yanayoashiria ana uchungu moyoni.

Mtu huanza kujichukia na kujiumiza yeye mwenyewe kabla hajawachukia na kuwaumiza wengine!

He has nightmares, na wakimchunguza vizuri watabaini ana historia ya kutaka kujinyonga au huwa anatamani kujinyonga.

Ndio maana amejaa mihasira na maneno ya maumivu!
 
Niliipenda hii
The Cumulative number of errors lead to Mistake
Numerous mistakes happened henceforth Blunders
A panel of Blunders ndio inawaleta Vimeo na Mafamba ambao wengi wapo kwenye kundi hilo ambapo hata wasipojisema ila utawajua tu
 
Acha ujinga, sasa mfungwa kulala siku nzima unaona sawa, yaani afanye uhalifu halafu kodi zetu zimlishe, duniani kote wafungwa hufsnyishwa kazi sana tu, wengine mnawaona wanatujengea mabrabara
Wewe unajua sheria za nacho zote dunia na majimbo?! Wacha kujenga hoja kwa hisia!
Well, embu nitajie nchi tatu za Western Europe zinazotumia wafungwa kwenye kuongeza pato?
 
Hukuelewa Chochote,labda wewe ni mke wa Chalamila ama mwanaye...kauli ya kuua mtuhumiwa ikichukuliwa serious nawe siku moja utajikuta ahera kwa kosa ambalo kama sheria ingefuatwa ungepaswa kulipa fine isiyozidi shilingi elfu moja!

Lengo La kuzuia watu kuuwa lilikuwa kupunguza kuuwawa Kwa wasio na hatia,tumeshuhudiwa waliouwa hali si vibaka wala wezi wapo waliokuwa wakifanya jogging alfajiri wakaunganishwa wakauwa,wapo waliofumania wapenzi wao vyuoni,majumbani kujihami wakaitiwa mwizi na wapenzi wao wakauwawa ,wapi waliokwenda fatilia madeni yao wakaitwa mwizi wakauwawa.Hivi huyu Mzee wa kuhonga michepuko naye ni kiongozi kweli?. Nchi za nje wenzetu wanatuona vipi INA maana tumekosa watu wa maana hadi tunaokota watu wasiofaa.Uwezo wa kufikiri wa mtu upimwa kwa kimtokacho mtu.Mtu aliyeelimika hawezi sema maneno hayo na dunia ikisikia.Ila nyoka huzaa nyoka yalianzia Kwa baba yao.
 

Attachments

  • Screenshot_2019-08-29-19-02-06.png
    286.6 KB · Views: 14
Tumekuwa tukisikia mwizi akiiba akipigwa na kuuwawa na wananchi wenye hasira kali jeshi la polisi linatoa onyo kuwa si vyema kujichukulia sheria mkononi.
Je, kwa kauli ya huyo kiongozi kusema kwamba alitimiza ombi la tatu kwa mwizi aliyeingia nyumbani kwake polisi hawaoni kwamba alijichukulia sheria mkononi hivyo anafaa kuwa chini ya ulinzi?
Kama ni ushahidi katoa yeye mwenyewe bila kuuliza na ameamua kujishitaki.
Kitu nilichogundua huyu kiongozi aliua lakini marehemu alikufa na akili yake(alibadilishana akili na marehemu aliyekuwa mwizi)
 
Mpuuzi kama huyo hajajiweka kwenye hiyo ofisi, aliyemkabidhi hiyo ofisi ndio wa kulaumiwa. Mbona hatujawahi kua na wapuuzi kama hawa katika awamu zingine zilizopita??? Jaribu kufikiri mpuuzi kama huyo eti anateuliwa na Mkapa kua hata mpishi, haiwezekani!
 
Huyu sijui alipatikana vipi aiseee.. Katibu Mkuu wetu CCM, alisema anatakiwa kwenda shule, yaani atolewe uongozini, alafu aende shule huyu.. Hafai kabisa, anamharibia sana Mkuu wa nchi.. Ni aibu kubwa
 
MTU chapombe amkumbuki hata mama yake atakuwa vipi na Upendo wa kuwajali na kuwathamini wengine, Asili asili
 
Ila humu kuna wanafiki sana leo hii unafurahia wezi waendelee kutuibia ha ha ha ha watanzania kwa unafiki siwawezi
 
Poti kuna siku zingine unaweka bandiko lililotulia.
 
Hukuelewa Chochote,labda wewe ni mke wa Chalamila ama mwanaye...kauli ya kuua mtuhumiwa ikichukuliwa serious nawe siku moja utajikuta ahera kwa kosa ambalo kama sheria ingefuatwa ungepaswa kulipa fine isiyozidi shilingi elfu moja!
yani uje kuniibia nikukute ndani then unipe buku nikusamehe are you serious
 
Awamu hii imeokota watu jalalani na kuwapa madaraka,huyo ukimuangalia sura yake tu unajua ni taahira kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…