This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kuna mtu kawafanya hivyo!!

We Bwana. Unapoteza hadhi yako kama kweli ulishawahi kuwa nayo. Nobody anaweza kukufanya hivyo kama hukuwa hivyo ulivyo. Kumbuka watu kama Makonda waliteuliwa na Kikwete. Na hawachomolewi tu kunakuwa na kuangaliwa kwanza. Mwanadamu sio Computer kusema utajua kila kitu chake na intentions zake. Kuna Hawaongei lakini ndo hatari zaidi. Na pengine anaongea lugha ambayo wote tunaongea sema kama kiongozi lazima ajue Ana madaraka na hayo madaraka ni dhamana tu. Lazima kupima anachofanya na kuongea. Impact yake ni kubwa sana. Wewe unajificha humu ndo mana watu hakuhukumu sana.
 
Yataandikwa sana na kusemwa sana na wana wema, lakini kiburi cha mamlaka kinazidi kujidhihirisha. Inabidi kujitafakari ni nini kifanyeke kama taifa kabla mambo kwenda mrama? Anayepigwa hatakubali kupigwa milele na hapo ndipo inakuwa kila mtu na lwake.
 
Huamini nini wakati anamgeza baba yake Magufuli kipenzi chako?
 
Hizo ndiyo sifa anazozitaka mteuzi.
 
Mkuu,nafikiri ni wakati sasa wa kuchukua hatua sisi kawa Watanzania na waathirika wa viongozi wabovu. Haiwezekani hawa viongozi kila kukicha hawajirudi zaidi ya kuzidisha uhuni,hapo maombi yamegonga mwamba,tuchukue hatua zingine zifaazo.
 
Mwizi kuiba nae kuuwawa haki zabinaadamu hutetea sana
Mtu kuibiwa mali yake halali haki mungu utaiona kwa adhabu ya mwizi moja ikiwa ni kuuwawa.....
 
Sawa mwizi dawa yake kuuwawa. Fine, sasa tumsake mwizi wa fedha za ujenzi wa kivuko chetu Bill 8 auwawe! Wanaokwiba kwenye kusaini mikataba feki wauwawe? Wezi wa kura tuwauwe kwa mishale au mawe? Nyie ni wajinga wajinga wajinga! Mnashutumu wezi kwa vile wizi wao ni wa kuku wa mboga lakini wizi wenu wa mabilioni mnauhalalisha na kuufanya sio wizi bali kusogeza? Pumbaf kabisa wauaji wakubwa msio busara hata kidogo ndio maana mnaiba hata fedha zilizopangwa kumlipa mliyemnyang'anya mashamba yake hadi anakamata ndege ambayo ndio nyodo yenu namba 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…