Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki.
Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko .
Mfano mdogo ni platform za kufanya siasa.
Ili chama kiwe relevant au mwanasiasa awe relevant inambidi awe relevant mtandaoni kwa asilimia kubwa tofauti na zamani watu wangeweza kuwa relevant kupitia majukwaa ya kisiasa kama mikutano n.k
Kwahiyo athari za mitandaoni ni kubwa kuliko hata kuutubia mikutano wa wazi .
Jambo hili ni MUHIMU Jamii ya Sasa haitazami TV wala kusikiliza radio .
TV zao na radio na Magazeti ni ya kidigitali
Kwahiyo MTU Fulani anaweza akahisi chama Fulani ni threat kumbe ni kuwa kimebadilika kutokana na mabadiliko na kuweza kuwa- win watu wengi.