Kwa watu wasiomjua Mashali wataongea maneno mengi sana,Mimi nimekaa magomeni maskani yetu ni km kadhaa na sehemu aliyokuwa anafanyia mazoezi Mashali na pia Tandale alikuwa na sehemu pia ya kufanyia mazoezi.
Mashali alikuwa mtemi tena utemi wa kipuuzi kabisa alikuwa na uwezo wa kula chakula kwa Mama ntilie halafu halipi akidaiwa anadai yeye ni Mashali hawezi kulipa since yeye ni Mtemi wa DSM,Hiyo yote ilianza baada ya kumpiga Muddy Dame jela(Mtemi mwingine huyu) basi Mashali akaona kaikamata DSM na raia waliposikia kamuangusha Dame jela wakamnyooshea mikono.Mashali alikuwa mlevi wa kutupwa,kuna pambano alishinda i think alimpiga Maugo,alikuja hadi maskani na belt yake tukapiga naye picha tukamuuliza inakuwaje kuhusu Cheka akasema atamlaza hospitali kwa kuapa akachukua sandals ya mwana mmoja wa maskani halafu akailamba kule chini kwa kukanyagia(just imagine) hapo yupo chwiiiiii.Siwezi kummaliza because watoto wa Tandale Migo tunamjua sana alikuwa anakaba na kukaba asipokuwa na hela
KARMA IS THE BITCH