TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

sio kweli simba asiyefugika (mashali)alikuwa mtetezi wa wanyonge na alipokuwa jela aliwasaidia sana wanyonge labda ungeniambia mada maugo au said mbelwa ningekuelewa ila sio mashali
jela alienda kufanya nini?
 
...ni Kimara ipi na bar gani;hilo eneo inabidi liwe chini ya karantini mwezi mzima blalfuu!
..R.I.P Mashali!
Mashali alikuwa jambazi, tena wamechelewa kumuua ameumiza watu wengi sana....REST IN HELL MASHALI....NATUMAINI SASA HIVI YUKO JEHANAM ANACHOMWA MOTO KWA MATENDO YAKE.
 
Kama umenipenda we sema tu acha kujishaua
1477971892826.jpg
 
Mashali alikuwa jambazi, tena wamechelewa kumuua ameumiza watu wengi sana....REST IN HELL MASHALI....NATUMAINI SASA HIVI YUKO JEHANAM ANACHOMWA MOTO KWA MATENDO YAKE.
Enyi watu mtu anapokumbwa na umauti sio wakati wake kusema myasemayo kwa kuona unatumis jina la uongo kwenye jf.wewe huenda unanunua malaya,huenda ni mlevi,hutoi sadaka,hufanyi ibada,unawakela jirani zako.zote ni dhambi mbele ya Mungu.usitingwe na dunia kujiona huru sana fahamu Mungu anasema nini baada ya mtu kukumbwa na umauti.mashali kuchomwa motoni au kuingia peponi Mungu anajua
 
hakuna kitu kibaya kama ujambazi, wizi, unajua ni watu wangapi wameatthirika na matendo yake.....bora uwe mlevi, malaya lakini hudhuru binadamu mwingine.
 
Weźi wanapigwa na kuchomwa,ukila mke wa mtu wanakunajisi,halafu ccm bado tunaichekea
 
Mkuu Tembo wapo kabisa na ni halisi, wanagawana maeneo.

Mimi hawa niliwafahamu baada ya Tembo wa Ubungo kwenda kuvamia kituo kipya cha Mbezi Mwisho, kukatokea vita kali sana na wale wa Ubungo wakatimshwa, sasa baadae tena kukatokea mtafaruku wa Tembo wa pale Mbezi mwisho mpaka ikafikia kugawana stendi, mwingine alichukua stendi ya Malamba Mawili.

Mashali alikuwa ni Tembo wa Manzese, sina uhakika utawala wake ulikuwa unaishia wapi lakini jamaa alikuwa na eneo kubwa analomiliki kwa muda mrefu tu.
Mashali himaya yake ilikuwa kwa Morogoro Rd ni kipande cha Manzese Argentina mpaka TipTop,pia stand ya Midizini gari zinazoenda Buguruni/Manzese wakati Ally Maua Rd(Tandale) ilikuwa ni Tandale penyewe hadi Uzuri darajani.
 
Jamaa alikuwa na territory ya ukweli aisee.
 
Hii nchi ina create celebs wenye majina makubwa ila wana njaa na mifumo mibovu,mpaka alipofikia sidhani kama marehemu alikua hata na management angalau iwe inamuweka kwenye mstari kwa maelezo ya wadau inaoneonekana mpaka mwisho swahiba alikua na ubabe wa uswazi na kitaa kimemrudisha mavumbini....sio mbaya good die young.
 
Back
Top Bottom